Season 2 utaiweka huku JF au kule kwenye website kaka?
Ilipokua season 1Wapi huko iliko?
mi ni shabiki wa wako na nyuzi zako yani zinanipa vitu vya tofauti kila nikizisoma.....huu uzi unaendelea lini...manake kuna sehemu nyingi umesema utazielezea tangu kwenye utangulizi....na shauku yakujua wale secrete services waliona nini kwenye ile ruti kabla ya siku ya msafaraPamoja sana chief..
itakuwa kwenye website yakeWapi huko iliko?
Mkuu The bold nilisikia kua mwaka huu ndio ilikua mwisho wa hii ishu ya Kennedy kua SIRI na CIA wanatakiwa watoe ukweli wote ulivokua, vipi walishaachia au wameongezewa muda?
Ila Bill Clinton alishatoaga hii order na mwisho ni September tu hapo. Mara tunasikia paaap yule director wa CIA aliyetumbuliwa ndiye alikua MKUU wa mission nzima.Hapana kuhusu kifo cha JFK hawata declassify hata ifikie miaka 1000
Wanadeclassify issue za Russia tu