Recent content by Homemade

  1. H

    Magazeti ya Kenya na dhihaka kwa Rais wetu

    bro I guess u are wrong! Hivi maana ya uzalendo ni kufumbia macho ujinga eti kisa jirani yako kauelezea??Me najua unakemea uovu mahali popote pale! Mbona wakati wa mapigano ya uhuru kusini mwa Afrika watu walieleza matatizo yao kwa majirani hence mstari wa mbele.
  2. H

    Enzi za primary

    Wana jf naombeni tukumbushane vitimbi vya primary enzi zile. Nakumbuka ilikua ukinunua andazi unaliweka mdomo zimazima au unalitemea mate ili usiombwe du! Kanyaga twende
  3. H

    HATARI HII: UDOM Walitaka kulipua Chuo- Prof. Kikula

    Kama walichukua visu vya kumenyea machungwa (OMARY MAHITA 2000) wakasema et Cuf ni chama cha magaidi unafikiri wanashindwa kusema hayo??!
  4. H

    Kitendawili Darasani

    ningempa mji!
  5. H

    Huu unafiki unakujaje?

    Nimekuwa nikifuatilia masuala yanayohusu taifa letu(TZ), miezi kadhaa iliyopita nilisikia ktk vyombo vya habari eti 'wahisani waipongeza TZ na waitaja kama mfano wa kuigwa ktk mapambano dhidi ya rushwa&ufisadi'! Leo kwenye magazeti eti Tz kinara wa Utawala bora africa!! Hawa watu wa kimataifa...
  6. H

    Tido Mhando aula Al Jazeeera

    if its true nabii hakubaliki Kwao!
  7. H

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    ni bora anayetafuta umaarufu huku akiwakumbuka masikin!
  8. H

    Wabongo kweli wamechoka!!

    wanakuja kutuongezea foleni Mlimani city&Airport na hiyo mikutano yao iliyo 'TIJALESS' kama semina elekezi! Afadhali ntakuwa rufiji kwa Bibi hiyo 2013
  9. H

    Ha ha haaaa

    Hahaha,hehehe,hihihi,hohoho,huhuhuuuuuuu!
  10. H

    Nashindwa kuelewa!

    Nafurahi kutambua kilele cha uelewa wako,mimi nimezaliwa,nimelelewa na kukulia ndani ya familia ya kikristo na hata nilipojitambua nimeamua kuendelea hivyo,but nimefanya utafiti sana wa mambo ya dini islamic,christianity,hindu,budha,judaism,etc but elewa kuwa hiyo ni salaam ya kiarabu na haina...
  11. H

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Bro you have spoken it,BIG UP!
  12. H

    Nashindwa kuelewa!

    Asalaaam aleykum wanajf,wanajf naombeni kueleweshwa kwenye hili,nimekuwa nikifuatilia wabunge we2 wakichangia 'bajeti ya Mkulo'(maana si ya wananchi) hasa wabunge wa CCM eti wanaikosoa bajeti na kutoa mapendekezo halafu "WANAIUNGA MKONO KWA 100%" hii inamaanisha nini?au ndo uchizi wa MP's wetu...
  13. H

    Unawafahamu vizuri madaktari wa muhimbili?

    Umesahau ile ishu ya goti kwa kichwa?? Hopelessness is eating us!
  14. H

    "Chemsha bongo enzi zile"

    Duuu,mwanangu hiyo ya tatu imeniona!hebu nikumbushe!
  15. H

    "Chemsha bongo enzi zile"

    Wanajf tujikumbushe zile chemsha bongo za primary mfano; 1. Kati ya kilo 1 ya mawe na kilo 1 ya manyoya ya kuku ipi nzito?=mawe 2.mtini kulikuwa na ndege 100 Juma alirusha jiwe na kuua ndege 3 je,mtini walibaki ndege wangapi?=97.Tililika nayo..
Back
Top Bottom