Huu unafiki unakujaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu unafiki unakujaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Homemade, Jun 24, 2011.

 1. H

  Homemade Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia masuala yanayohusu taifa letu(TZ), miezi kadhaa iliyopita nilisikia ktk vyombo vya habari eti 'wahisani waipongeza TZ na waitaja kama mfano wa kuigwa ktk mapambano dhidi ya rushwa&ufisadi'! Leo kwenye magazeti eti Tz kinara wa Utawala bora africa!! Hawa watu wa kimataifa wana2mia vigezo gani? Au wanafichwa ukweli na watawala we2?
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  kilemba cha ukoka
   
 3. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watafichwa ukweli kivipi, kwani wao wenyewe na mabalozi wao wapo hapa nchini watashindwa kuujua ukweli. basi ukweli ndio huo ambao hutaki kuukubali. kumbuka hata Bwana wetu yesu mwokozi hakukubalika kwao. basi si ajabu kwa Kikwete. wenye kujua mambo wamemuona anafaa nyie bakini na maandamano yenu.
   
Loading...