Nashindwa kuelewa!

Homemade

Member
Jun 2, 2011
17
1
Asalaaam aleykum wanajf,wanajf naombeni kueleweshwa kwenye hili,nimekuwa nikifuatilia wabunge we2 wakichangia 'bajeti ya Mkulo'(maana si ya wananchi) hasa wabunge wa CCM eti wanaikosoa bajeti na kutoa mapendekezo halafu "WANAIUNGA MKONO KWA 100%" hii inamaanisha nini?au ndo uchizi wa MP's wetu? Help me plz...,
 
Hauwezi kutumia salam inayo unganisha watu wote bila kuonesha dini yako?
usipo jibiwa je?
 
Hauwezi kutumia salam inayo unganisha watu wote bila kuonesha dini yako?
usipo jibiwa je?
Na wewe unanote vitu vidogo vidogo mno kwani hiyo salamu imegombaaaaaaa ?

Wabunge wa ccm wana mtindio wa ubongo
 
Hauwezi kutumia salam inayo unganisha watu wote bila kuonesha dini yako?usipo jibiwa je?
Nafurahi kutambua kilele cha uelewa wako,mimi nimezaliwa,nimelelewa na kukulia ndani ya familia ya kikristo na hata nilipojitambua nimeamua kuendelea hivyo,but nimefanya utafiti sana wa mambo ya dini islamic,christianity,hindu,budha,judaism,etc but elewa kuwa hiyo ni salaam ya kiarabu na haina element hata 0 ya uislam ila tu imekuwa iki2miwa sanasana na wenze2 waislam,samahani sikutaka kusema yote hayo ila tu ni katika kueleweshana
 
Okey,uelewa wangu ni mdogo katika hiyo salamu.
Asante pia kwa kunielewesha kwamba lugha yenyewe ni kiarabu,...

Swali langu ni je,....kuna ulazima wa kusalimiana kiarabu hapa?
au mwenzetu unadhani kila mtu anajua kiarabu?
mbona kuna salam nyingi sana za kiswahili?
 
Asalaaam aleykum wanajf,wanajf naombeni kueleweshwa kwenye hili,
nimekuwa nikifuatilia wabunge we2 wakichangia 'bajeti ya Mkulo'(maana si ya wananchi) hasa wabunge
wa CCM eti wanaikosoa bajeti na kutoa mapendekezo halafu "WANAIUNGA MKONO KWA 100%" hii
inamaanisha nini?au ndo uchizi wa MP's wetu? Help me plz...,

Maigizo ya Pwagu na Pwaguzi
 
Mkuu hilo ndilo kosa mlilolifanya kwenye uchaguzi uliopita. Mmewachagua wabunge wa ccm na badala ya kuwawakilisha nyie wanakiwakilisha chama na serikali yao.
Usirudie hayo makosa mwaka 2011
 
Mkuu hilo ndilo kosa mlilolifanya kwenye uchaguzi uliopita. Mmewachagua wabunge wa ccm na badala ya kuwawakilisha nyie wanakiwakilisha chama na serikali yao. Usirudie hayo makosa mwaka 2011
Mkuu 2011, tuna uchaguzi gani?
 
Back
Top Bottom