Wabongo kweli wamechoka!!

Hivi yuko nchi gani sasa hivi?, mara ya mwisho nilimsikia eti amefanikisha kuleta mkutano uliokuwa ukifanyika Malaysia kwa miaka zaidi ya 15 hapo 2013, hivi ni kweli tunahitaji mikutano???, nadhani matatizo ya nchini kwake hayampi shida..

Nafikiri atakuwa anelekea Sudan, akitoka huko anarudu South Africa akimaliza South Africa sijui anaelekea wapi inawezekana anawezakurudi ulaya
 
Hivi yuko nchi gani sasa hivi?, mara ya mwisho nilimsikia eti amefanikisha kuleta mkutano uliokuwa ukifanyika Malaysia kwa miaka zaidi ya 15 hapo 2013, hivi ni kweli tunahitaji mikutano???, nadhani matatizo ya nchini kwake hayampi shida..
wanakuja kutuongezea foleni Mlimani city&Airport na hiyo mikutano yao iliyo 'TIJALESS' kama semina elekezi! Afadhali ntakuwa rufiji kwa Bibi hiyo 2013
 
Nina wasiwasi na Uchumi aliosoma ****** pale mlimani kama kweli unamsaidie ktk kuongoza nchi!!!!!!!!! Hajui nini kipaumbele cha nchi anayoingoza kwa sasa....

Hivi yuko nchi gani sasa hivi?, mara ya mwisho nilimsikia eti amefanikisha kuleta mkutano uliokuwa ukifanyika Malaysia kwa miaka zaidi ya 15 hapo 2013, hivi ni kweli tunahitaji mikutano???, nadhani matatizo ya nchini kwake hayampi shida..
 
sijaliona sina uhakika ni hiyo lakini kuna viashiria vya kuandika hayo hebu fikiria haya:-
1. nlimnasa Salma akihutumia wajumbe wa ccm akisema serikali ya ccm itahakikisha inaboresha elimu. nkajiuliza tamko hilo anatoa kwa mamlaka yapi aliyonayo?
2.Jk kapungua sana inaonyesha hafurahii kuwa ikulu!!
 
Mi mwenyewe naunga mkono hiyo hoja ni bora ajiuzuru hakuna anachofanya zaidi ya kila siku kiguu na njia Ulaya.
 
Yap kwenye Nipashe km sikosei limepigwa picha hilo bango hahahaha swafi sana jamaa sioni lolote analofanya
 
mabango ya aina hiyo yakifika mia moja bila shaka atajiuzuru tu.......wananchi wamechoka!!!!!!!!!!!!!!!!!! maisha bora yamepepesuka na upepo......................
 
Jamani haikupatikana picha ?Jamani nadhani ujuembe umefika hata kama atapuuzia.
 
Back
Top Bottom