Recent content by homeland12

  1. homeland12

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kufanya kazi ya malipo laki na hamsini Kwa mwezi

    Kwahiyo wewe unaingiza kipato sh ngapi kwa mwezi, Ila wahuni wasiichape ya mkeo??
  2. homeland12

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitoa NBCPL, Azam TV wana nini kingine?

    Bila kusahau cheka tu, ya coy mzungu
  3. homeland12

    JamiiForums Tanzania KERO Abood mnatukosea sana Abiria wenu

    Mpaka muda huu saa ngapi?? Siku nyingine eleza vzr mmesubirishwa masaa mangapi au dk
  4. homeland12

    JamiiForums Tanzania Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

    Sasa mm na ww tuna uhakika gani, Kama hao watoto wanaolalamika mzee hakuwarithisha Mali nyingine??? Fikiria Wenda mzee hakuwa na nyumba moja au Mali hiyo tu. Labda tamaa zao za kutoridhika ndizo zinawasumbua
  5. homeland12

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watu wote walioajiriwa

    Namba 6 nyongeza, ikiwezekana wafanyakazi wako wasijue biashara unayofanya na wakijua, wasijue Ni wapi ilipo angalau utapunguza kuchukiwa kazini
  6. homeland12

    JamiiForums Tanzania Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

    Msemo wa chiku kwa cholo " mtoto wa mtu mbebe tu akiwa amelala na sio vinginevyo, pia tamaa ya binti msumi ya kuvuna Mali za mzee kikala, umeamia kwa mwamini kumuwinda Hamad kisa ndie yupo kwenye urithi( hapa wanaume tuna SoMo kubwa mno) mazuri ya tamthilia hii Ni mengi mwisho usimsaidie mtu...
  7. homeland12

    JamiiForums Tanzania Tazama muda unavyokwenda mbio

    Bila kusahau, kutana na bahati ubaatike, na shangazi akijibu maswali ya mada za ndoto nyevu, mimba, balehe na utelezi.
  8. homeland12

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

    Sasa watagombeaje wkt wakirudisha fomu wanaambiwa wamezijaza vibaya, na wanaofaulu fomu kupokelewa wanaenguliwa baadae kwa kubambikiziwa tuhuma bandia, na kwenye kampeni vyombo vya ulinzi havitendi haki, kwahiyo nje ya ccm ukigombea unakuwa unazidiwa na ambae hajagombeaa maana unapoteza nguvu...
  9. homeland12

    JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Matatizo hayo yanaanzia mbali Sana tangu watoto wakiwa wadogo, baadhi hukua bila hao wazazi matajiri kuwepo nyumbani au karibu yao. Baadae pande zote mbili hukosa connection ya love bond. Ndio upelekea kutoaminiana. Na ngozi nyeusi hatuna mifano mizuri ya watoto waliondeleza Mali vzr za familia...
  10. homeland12

    JamiiForums Tanzania Hawa ni JF Members maarufu wa ku-comment na ku-like ila wazito kuandika nyuzi.

    Natamani Sana kuwa naandika nyuzi, na visa na Mikasa ninavyovingi naomba kuelekezwa
  11. homeland12

    JamiiForums Tanzania Wanaume tupunguze au kuacha kabisa kuhonga

    Hata huyo mmoja, anaweza kukuchuna pesa ambazo ungezitumia kwa ke 5 au zaidi. Labda wema usizidi uwezo
  12. homeland12

    JamiiForums Tanzania Haya mambo jamii ikiendelea kuyachekea tutapoteza nguvu kazi za taifa

    Duuuh! Umeanzia mbali sana, jifunze kufupisha habari
Back
Top Bottom