InasaidiaHaisaidii
Hata abood ya tunduma jana ilichelewa sana kutoka Dar, nadhani saa 11 kasoro hivi ndio ilitoka mlogoro ikaingia saa tano za usiku😅😅😅, uyole ikaingia saa nne kama na dk 40 hivi...Kampuni ya Mabasi ya Abood mnatukosea sana Abiria wenu,haiwezekani tumekata tiketi ya bus la kwenda Mbeya lililotakiwa kuondoka saa Tisa na nusu lakini mpaka muda huu hakuna bus.
Wafanyakazi wenu wa hapa Magufuli wanatujibu hovyo yaani wanatuona sisi kama takataka.
Huu ni upuuzi wa kiwango Cha juu,kama biashara imewashinda kafanyeni shughuli zingine
Wafanyakazi wenu hawajui kuongea vyema na wateja.
View attachment 3392779
Dalili za kampuni kuchechemea
Kwa mbeya siku nyingine pandaKampuni ya Mabasi ya Abood mnatukosea sana Abiria wenu,haiwezekani tumekata tiketi ya bus la kwenda Mbeya lililotakiwa kuondoka saa Tisa na nusu lakini mpaka muda huu hakuna bus.