Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

Kwa wake ambao hajawahi kuiona KOMBOLELA au ulipitwa
Angalia episode 1 hii apa 🔥🔥
👇👇👇👇

 
Kwa ambao hawakufatilia season 1 nashauri mdownload Azam tv Max mtaikuta humo.
 
Wabongo wakiwa serious na kuact ule umasikini wao na maisha yao halisi huwa wako vizuri sana ila kwenye mambo ya kuiga mbele na utajiri huwa wanaharibu sana.
Hiyo sijaiona zaidi ya clips mbalimbalu ila inaonesha ni nzuri na watu wameipenda kwa kuakisi tabia na maisha yao halisi ya umasikini, uvivu, uchoyo, roho mbaya na unafiki.

Nadhani ipo kama siri ya mtungi na zahanati ya kijiji.
 
"Girlfriend wa baba Jetlii..."
"Koma wewe mpaka makaburi yenu na mimba zenu zote..."
Mwadawa a.k.a Govinda
Siwa maneno mengi....
Mzee Kikala anakoma mbona
 
Ila hii tamthilia ipewe tuzo zote itazoshindanishwa nazo[emoji1487]
IMG20250601195144.jpg
IMG20250601195318.jpg
 
Msemo wa chiku kwa cholo " mtoto wa mtu mbebe tu akiwa amelala na sio vinginevyo, pia tamaa ya binti msumi ya kuvuna Mali za mzee kikala, umeamia kwa mwamini kumuwinda Hamad kisa ndie yupo kwenye urithi( hapa wanaume tuna SoMo kubwa mno) mazuri ya tamthilia hii Ni mengi mwisho usimsaidie mtu ambae anachochote mkononi aoneshe kianzio ndipo umuongezee mfano tukae mtaji wa chiku wote kwenye pombe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom