Recent content by holygrail

  1. holygrail

    Nahitaji ushauri kuhusu TV nchi 43

    Kaka nenda mbweni. Hela hyo unapata inch 48 mtumba classic tena big brand.
  2. holygrail

    Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

    Dah siku hizi matumbo yamepotea. Wanatumia mikanda sana
  3. holygrail

    Je, laptop nzuri ina sifa zipi?

    Lenovo w520 Core i7 2nd generation Ram 16 gb Invidia quadro 1000 Hdd 1tb Fifa 19 Mortal kombat xl Gta 5 Assassin creed Watch dogs Euro truck Pes 2021 Red dead redemption 2 Blur Price. 650k
  4. holygrail

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Usithubutu. Nenda gerezani kariakoo utapata ps4 nzuri tu. Hao kenya ni matapeli
  5. holygrail

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Hahhaha...kaka ulijisahau. Ilitakiwa uji upgrade to ps3 na ps4
  6. holygrail

    Nimemwambia nibebee Mimba ili nikuoe hataki

    Kama hiyo akili ndo unayo basi kazi ipo
  7. holygrail

    Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

    Hahaha....mkuu siku hizi jf imejaa utoto mwingi sana. Wengi tumekimbilia Twitter republic
  8. holygrail

    Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

    Ww huna facts. Sipendi watu ambao hawataki kukubali kuzidiwa ujuzi. Mkuu mkwawa ndiyo jicho letu la tech. Hakurupuki, wala hana majivuno na ni mtu wa facts. Wewe ni layman tu kwa mkuu mkwawa. I don't mean to be rude but, you ain't kwow shit.
  9. holygrail

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Simple tu. Tv inakuwa kama monitor. Either uunganishe kwa VGA au hdmi. Then pads za pc zina waya una connect via usb ports au via bluetooth kama pc yako inayo. Kwa kuongezea tafuta kijisabufa hata cha 60k unganisha na pc kama source ya audio. Inanoga sana na inaleta bonge la vibe hasa kwenye...
Back
Top Bottom