Ahsante kwa ushuri wako nitalifanyia kazi hilo!ni nzuri y wastani hasa kam unatumia sebuleni au chumba kikubwa yani HD mno, by the way bynunua LG,Hisense,samsung og,Tcl, hata ukikuta ni mtumba chukua , ukitaka kujua hii ni hd sogelea karibu kabisa ktk screen picha unaiona clean vile vile,rangi haifubai
Niko mbali sana mkuu geita kabisa huku maporin!!Kaka nenda mbweni. Hela hyo unapata inch 48 mtumba classic tena big brand.
Biashara huria kila muuzaji na bei yake.Sawa kila mtu na alivyopigwa
Kwa bwi iyo Utapata Nchi 40Rejea kichwa cha habari hapo juu, nataka kununua Tv nchi 43 ipi kampuni nzuri,
Bajeti yangu 500k.