Are you health or healthy? Ok, uliscore vipi hayo masomo ya history na geog secondary? Nijibu fasta nikupeleke shule moja hv inataka walimu wa2 wa hayo masomo.
Kwanza kabisa nashukuru kwa kuni-correct. Nakuomba kama uko serious tuwasiliane kupitia number niliyoiweka kwenye thread.
Hi JF members! I'm self motivated to request for teaching opportunity in secondary schools. I'm both mentally and physically health enough to work under pressure and in any enviroment.
Academically i'm a historian, holding bachelor degree of history (BA. History), however i feel to be...
Pole nchi yangu. Huyu ndo mtaalam uliyemuandaa ili naye akaandae wataalam wengi zaidi. Sijui product yake itakuwaje na wala sielewi nini hatima ya elimu yetu miaka kadhaa ijayo.
Najivunia kuwa na waziri kama yeye, anaefanya kaz kwa maslahi mapana ya nchi, anaedhibiti mianya yote ya majiz yasokuwa na utu wala uzalendo kwa taifa. Mtatuita mbwiga lakin hamtarudi tena pale JKNIA.
Ikiwa wewe si mmoja wa wale makafiri waliofukuzwa pale JKNIA basi utakuwa --------- kama ko....mu. Mambo mengine muyaongelee kwenye vijiwe vyenu na si kutuwekea hapa jukwaani
Kwanza ingekuwa vizuri kama ungetueleza ulitumia njia gani katika kufanya utafiti wako. Lakini pia utuambie ulifanyia maeneo gan, maake isijekuwa ulienda sehemu ambazo madada poa hupendelea, kwani nao wakati mwingine hupenda kuwa isolated ili kupunguza competition.
Jambo la kujiuliza ni kwanini USA wanajivuta sana kumsaidia Al-maliki hali walimuweka wenyewe madarakan baada ya kumwondoa Saadam Hussein. Nashindwa kuelewa kama Obama hana interest na iraq kama ilivokuwa kwa mtanguliz wake-Bush. Pengne inaweza kuwa ni kwa sababu Obama huyuhuyu anawaunga mkono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.