Recent content by HOJA YANGU

  1. H

    MKOBA azushiwa kusaini kitabu cha mahudhurio

    Mukoba si mtumishi wa umma kama unavyofikiri.
  2. H

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Nasikia Simanjiro kwa Ole Sendeka, Mirerani walimu wameungana kutokwenda kazini. Wanafunzi shule za msingi wameanza kuondoka kuelekea nyumbani.
  3. H

    Mukoba: Mgomo wa walimu ni halali na umeanza leo hii!

    Mukoba..'' mwalimu anaweza kufanya kazi ya aina yoyote ile ikiwemo kushiriki katika zoezi la sensa wakati akiwa kwenye mgomo.'' anasema siwezi kumzuia mwl. kama anakang'ome ka kwake asikakamue. mfano hii part time ya kuhesabu watu.
  4. H

    Mukoba: Mgomo wa walimu ni halali na umeanza leo hii!

    Mukoba anasema kauli ya ikulu, yeye siyo Mahakama kwanini anaisemea mahakama. Mahakama ndo yenye kutoa kauli hiyo.
  5. H

    Mukoba: Mgomo wa walimu ni halali na umeanza leo hii!

    Sasa hivi Mukoba yuko ITV anazungumzia kuhusu mgomo wa walimu na anasema ni halali. Mwl. atakayeenda kazini in msaliti kama wasaliti wengine waliowahi kutokea katka mapambano ya ukombozi
  6. H

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    No, no, no! Zitto DON'T think of becoming president of this country it is too early for you to hope for that, better think on solving problems of your people in your constituency.
  7. H

    Ikulu yawajibu walimu, yasema mgomo ni Batili, kesi iko mahakamani

    Very good. Your statement appeals to the emotions of the teachers. Teachers go, go teachers.
  8. H

    Uozo ndani ya Jeshi la Polisi... Ushahidi huu hapa

    Aisee! jamani hii inasikitisha na kukasirisha.
  9. H

    Je cwt simanjiro inawasaidia walimu wake?

    Ndugu wapendwa, nimelazimika kuuliza swali hili kwa walimu wa SIMANJIRO baada ya kusikia minong'ono mingi sana ili nisikie walimu wanasemaje. Kilio cha walimu wa wilaya ya Simanjiro ambacho kimekuwa kikipazwa ni kwamba. 1. Katibu wa CWT- Simanjiro hafanyi vikao vya ngazi yeyote...
  10. H

    Tundu Lissu hukumtendea haki Pinda kumtaka ajiuzulu

    Statement ya Mh.Lisu ilikuwa hivi, '' if you have done at your very best and you have failed why don't you resign?'' Je kauli hii ni mbaya? Au kwa kuwa ni ya kiingereza. Na ukumbuke PM mwenyewe alitumia maneno mengi kwa kiingereza kujibu hoja hii. Nafikiri PM hakuwa na cha kujieleza akaona ili...
  11. H

    05 Julai 2012!

    Walimu hawajapanga kugoma tar. 05. July. ila hiyo tarehe ndo mwisho wa kusubiri kama serikari in nia ya kukaa meza ya mazungumzo na CWT. Kama hii tarehe itapita, walimu watapitishiwa karatasi kusaini kuamua wanataka kugoma au hawataki kugoma. Baada ya hapo CWT itatoa notice ya kugoma.
  12. H

    Nauliza swali: Hivi tunaacha kuangalia bunge kwa sababu ya hoja za wapinzani au uongozi wa Makinda?

    Aaaaaaaaa, huyu mama kweli ni kichefuchefu yaani alivyo na sura yake ndo hata katika maamuzi yake. Amekuwa dikteta mno. Bunge linapunguza uhuru wake na wabunge wanashindwa kujadili hoja mbalimbali kwa uhuru kisingizio cha kanuni kutumiwa vibaya. Mfano Mh. Mnyika ameomba mwongozo...
  13. H

    Mkutano wa CHADEMA kurushwa Live na ITV siku ya Jumamosi, Jangwani

    Wapendwa wote wapenda mageuzi nchini Tanzania, ITV itarusha live matangazo ya mkutano wa CHADEMA siku ya Jumamosi jijini Dar es Salaam kuanzia majira ya saa kumi jioni. ITV tayari wameshaanza kuutangaza mkutano huo. Source: ITV
Back
Top Bottom