napita, mana hata nikichangia hawatasikia na hawataelewa
Thanks sana.hebu soma post ya 51 hizo attachment zimekuzwa vuri
haya mambo si tanzania tu,nenda kenya kuna paluwanja inamaliza watu,nenda mexico ndio kabisa hakushikiki
hata tupige kelele vipi hatuwezi badiri mfumo na kelele zikizidi yatakutokea ya Jery muro na rushwa ya uongo
tuwaache tu,umri wa kustahafu utafika,watakaa pembeni na kujisifia kwa kazi nzuri waliyofanya.
Duh mchina wangu ameshindwa kufungua picha!
Jeshi la Polisi limechafuka kwakipindi kirefu sana sasa. Kuanzia kipindi cha Mahita. Badala ya kulisafisha wao wanahamishwa vituo tu. Kumbuka kamanda Chico wa mkoa wa Kilimanjaro alivyokuwa anashirikiana na majambazi kuiba magari, sijui kama yale mabasi yake ya Chico bado yapo au wamebadilisha majina.
Baada ya scandle alihamishiwa DSM, nafikiri kwa sasa yuko usalama wa taifa. Huyu Msangi katika hiyo barua amejibu kwa kebehi; inaonyesha kuna wakubwa wanamlinda ndio maana ana kiburi. Inawezekana hizo mali za wizi wanakula na wakubwa zao.
Simuamini kabisa Mwema na wenzi. Infact jeshi zima la polisi limeoza- hamna wakumuamini tena. Ingawaje wanalipwa mshahara/wana maslahi duni ya kazi; lakini wana-benefit kwenye huu uharamia wanaoufanya ndio maana hawaoni sababu yakudai mishahara/mazingira mazuri ya kazi.
Kuishi kwao nyumba duni ni kiini macho tu, hawa watu (hasa wakubwa wao) wana-illegal sources za income nyingi tu.
Umesema kweli. Lakini jana umemsikia JK akisema huu si utamaduni wetu kabisa na nyimbo tunazoimbiwa na dola siku hizi ni kuwa sisi ni tofauti kabisa na majirani na nchi zingine; ni kisiwa cha amani; tunaonewa wivu kwa hilo - hivyo tupiganie kudumisha amani yetu adhimu! That's the **** being fed daily to Tanzanians. Njia sahihi ni kupambana na hii kitu (reign of terror) ili kweli isiwe utamaduni wa utawala kwa yeyote anakayekabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi. Tukilegea na kuruhusu hili na kwa mwelekeo wa viongozi wetu waliopania kuuza nchi na hata uraia wetu kwa mafia wa kimataifa kwa ujira wa karanga (peanuts), basi tuhesabu siku tu kabla taifa letu ama halijafutika kwenye uso wa dunia au kupoteza kabisa nasaba ya utanzania tunaoufahamu leo hii.
haya mambo si tanzania tu,nenda kenya kuna paluwanja inamaliza watu,nenda mexico ndio kabisa hakushikiki
hata tupige kelele vipi hatuwezi badiri mfumo na kelele zikizidi yatakutokea ya Jery muro na rushwa ya uongo
tuwaache tu,umri wa kustahafu utafika,watakaa pembeni na kujisifia kwa kazi nzuri waliyofanya.
Ndg yangu mleta maada, hakikisha hufahamiki. Uliyoeleza hapa ni ukweli mtupu. Umemgusa simba mkia, tena unauvuta.! Hawa jamaa wa usalama wa taifa, siku hizi sio usalama tena. Ni ugaidi na uharamia wa Taifa. We unawachezea? Pamoja na hayo, nakupa big up kwa ujasiri wako.
haya mambo si tanzania tu,nenda kenya kuna paluwanja inamaliza watu,nenda mexico ndio kabisa hakushikiki
hata tupige kelele vipi hatuwezi badiri mfumo na kelele zikizidi yatakutokea ya Jery muro na rushwa ya uongo
tuwaache tu,umri wa kustahafu utafika,watakaa pembeni na kujisifia kwa kazi nzuri waliyofanya.
Duh, rafiki wa majambazi amehamishiwa usalama wa Taifa? Kweli hii nchi hakuna kitu kabisa. Na ukishaona hivyo ujue hadi Rais ni mmoja kati ya hao majambazi.
Hivi wale watu aliowataja Regnald Mengi tena kwa majina kwa kashfa za kutaka kumbambikiza mwanae madawa ya kulevya, wamechukuliwa hatua yeyote? kama hawajachukuliwa hatua maana yake hawana makosa je Mengi kwanini asichukuliwe hatau za kisheria kwa kuwasingizia polisi uongo?
wamisri wangekuwa na mtazamo kama wa kwako, mubarak hasingekuwa kwenye life support muda huu ninapoandika haya. Mabadiliko katika jamii hayaji kirahisi na kama watu wataendelea kuwa na mtazamo kama huu uliowakilisha hapa.
nimeyaandika haya baada ya kuona kuwa mengi yametendwa na waliotajwa,lakini hakuna kilichofanyika kama barua inavyojielekeza mwisho wa siku vyeo vimepanda na wanashiriki kuwepo ktk tume ambazo nao wanatuhumiwa,je aliye tengeneza tume hiyo asikii watanzania wakisema? Je ni kwanini amaelazimisha wawepo ktk tume?
Je raisi hayasikii haya? Na kama hayasikii mbona kayasikia ya kutekwa dr na lawama kwenda kwa serikali? Kwanini hakuagiza tume iwatoe nje watuhumiwa ili tume huru ifanye kazi yake?
Kama mnasubiri majibu basi ni majibu yaleyale yasiyokidhi mahitaji ya watu ndiyo tutakayo pewa
nini kifanyike sasa kama tume huru haitaundwa?