Mkuu bora utafiti ulioofanya utuwekee hadidu za rejea zilizokuongoza! Nionavyo mimi kila kunapoitwa leo sisi wananchi tunapata kuwaelewa watawala wetu kwa undani zaidi kupitia hayo unayoyaita yasio na tija! Hapa naweka mfano moja tu,. Mahusiano ya kisiasa baina ya vyama si jambo dogo. Kwa kuwa...
What a formal way! Nadhani hujaelewa alichosema Mchungaji, Mwanasheria wa Kinana kasema na waandishi wa habari badala ya kumfikishia yeye taarifa kwanza! So ni sawa yeye kusema kwa wamachinga kabla ya kuwajibu wanasheria wa Kinana! Mesege delivered!
Japo mkeka ni mrefu na maandishi ni madogo, lakini baadhi ya hoja zako ni za msingi. Katika vipande nilivyofanikiwa kuvipitia, sikubaliani na dhana ya mihadhara iliopigwa marufuku kwa mtazamo wako. Umesema vema kwamba miaka mingi huko nyuma wakristo wamekuwa wakifanya mikutano ya nje, Lakini...
Sisi si waajabu, sisi hatujiamini! Sisi kama serikali tunahusika, hivyo si rahisi kujichunguza na kutoa majibu yatakayoshawishi watu wetu na ulimwengu kwa ujumla wanaotufahamu tunavyocheza kijuha! Bora hata tunajifahamu hivyo!
Inawezekana, kwa sababu Mnyika anapambana kwa hoja, huna sababu ya kuogopa hoja, utajipanga utajibu, au utazifanyia kazi kimyakimya na watu wakapata majibu! Ogopa Tabibu asieamini katika matumizi ya ganzi katika kung'oa meno na kucha za watu! Wale anaowafanyia hivyo hawana muda wa kujipanga...
Mzee usivurumishe kombora zito, nimepita pale Ubungo stend, vijiwe vyote vya kuuzia magazeti unavyovijua pale havikuwa na hata nakala MOJA ya gazeti hilo!
Pilipili uso ila yakuwashaje? Kwa nini uweweseke kiasi cha kujaribu kuhujumu uhuru wa Watanzania Kuhabarika kama hukuguswa? Kati ya CDM na Magamba nani anaweweseka?
Mwigulu is now your hero! I am waiting for a day when you will change your mind and call him "A NUT"! The days are just around the corner! Cursed be Mwigulu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.