Dk. Joyce Ndalichako, usibabaishwe na mtu yeyote

Dk. Joyce Ndalichako, usibabaishwe na mtu yeyote

Mtoa mada nakupa tano. Ni kweli siasa imeharibu elimu yetu na bado inaendelea kuharibu.

Ndalichako tunajua udini ndio unaokupiga vita, kaza uzi fanya kazi yako kwa weledi, hata kama watakuona hufai historia itakukumbuka.

Nyie watu, hamuwezi kusema chochote bila kuchapia udini!!!!! Hii mada yenu ya udini inachosha na haisaidii uhai wa hili taifa. Mbaya zaidi inashabikiwa na watu waliopo kwenye jukwaa la Great Thinkers!!
 
Kama tuna serikali ambayo kuanzia (tatekulu) kinala wake mpaka walio chini yake wana elimu za mashaka mashaka utatarajia nini kama sio ubabaishaji?kinara wa serikali aliingizwa mkenge more than once na wasaidizi wake kwasababu wanajua yeye ni kilaza.wasaidizi wake nao hawajui wafanye nini huko maofisini mwao ndio maana kumekuwepo na madudu katika kila sekta.tanzania has a long way to go under this poor performing administration.they want to sacrifice dr ndalichako to cover up their weaknesses.
 
Na udini pia ndugu yangu.......kila kinachotokea sasa katika SERIKALI hii ya JK kina sababu zake nyuma ya pazia.....MUNGU ATUSAIDIE.

Kama mawazo yenyewe ndio haya kweli MUNGU ATUSAIDIE!!
 
Ndalichako aondoke na mwenyekiti wa NECTA naye aondoke.Waunde upya hili baraza kwakuzingatia usawa wa dini,jinsi na muunganowetu.kwani mfumo kristo umewaumiza saaaaaaaaaana waislam na nduguzao wanzanzibar.Ukiingia pale utadhani upo jimboni kwa mtakatifu NECTA.upo parokia ya peramiho ni hatari sana nyie wakristo.kwani diniyenu inafundisha dhulma?mbona siwaelewi mmeikumbati sana.
Someni vijana acheni kulalamika, ni elimu dunia tu ndio itawakomboa, huwezi kupata ajira kwa elimu ahera. Labda ukaombe kazi msikitini. Ningewashauri muombe baraza lenu kama ilivyo mahakama yenu.
 
Nyie watu, hamuwezi kusema chochote bila kuchapia udini!!!!! Hii mada yenu ya udini inachosha na haisaidii uhai wa hili taifa. Mbaya zaidi inashabikiwa na watu waliopo kwenye jukwaa la Great Thinkers!!
Usifiche moto chini ya kitanda ndugu yangu, litaanza godoro na nyumba nzima kuungua, tatizo halitatuliwi kwa kukaa kimya.
 
Tatizo hii mijamaa ya CCM mingi imeishi toka ujima sasa wanashindwa kurealize kuwa ulimwengu umechange,uzuri wapinzani wenu wanawakosoa alafu wanatoa na solution lakini kwa kuwa mna negative stereotype mnashindwa kupick vitu muhimu mnavyoshauriwa,mimi nawaona kama MGONJWA anaekaribia kufa ambae anaweza kataa dawa kuokoa maisha yake.
 
Someni vijana acheni kulalamika, ni elimu dunia tu ndio itawakomboa, huwezi kupata ajira kwa elimu ahera. Labda ukaombe kazi msikitini. Ningewashauri muombe baraza lenu kama ilivyo mahakama yenu.

Ushauri wako tumeupokea !......maana hili Baraza la sasa ni 'lenu' peke yenu kwa ajili ya manufaa yenu pekee !
 
Huyo nae atapata div II.

ndalichako.jpg
 
Dk. Ndalichako hongera sana kwa kazi nzito na nzuri unayoifanya. Mimi binafsi naridhika na kazi nzuri unayoifanya. Kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania ni sera mbovu ya serikali ya chama cha mapinduzi (CCM). Fanya kazi zako bila kuingiliwa na mtu yeyote. Watanzania wenye akili tuko pamoja nawe.

naunga mkono hoja
 
tanzania hakuna elimu ndio maana Nape alipofeli alikimbilia India hapa Elimu ni unoko tu, walipeta sasa wao ni mawaziri nao wamepita njia nyingi za panya Mulugo anaweza wakirisha
 
nitamuona wa maana kama atajiuzulu, kuendelea kushikilia huo wadhifa ni kutuaminisha kuwa alitumia mfumo mpya wa usahihishaji tena bila kushirikisha wadau wa elimu na kupelekea matokeo kuporomoka na hivyo we have to question her performance.

nafasi ya ndalichako sio ya kisiasa hadi ajiuzulu,yeye ni mtumishi wa umma,wa kujiuzulu ni wanasiasa namaanisha waziriwa elimu.
 
Tatizo la ndalichako ni kutumia viwango vipya bila kushirikisha wadau

Tatizo si Ndalichako hata kidogo, hawezi kufanya maamuzi kama hayo bila kulishirikisha Baraza. Mwenye tatizo ambaye amesababisha mauaji ni Shukuru Kawambwa ambaye ni kilaza wa mwisho lakini amekuwa akitumia amri kuiendesha wizara sasa amri zake zitakula kwake kisawasawa. Anatumia sana vibaya madaraka yake hata wakati mwingine amekuwa akilishinikiza Baraza la Mitihani kusajili watu wasio na sifa za kufanya mtihani kwa madai eti wametumia gharama kusoma ma bahati mbaya sana Kamishna wa Elimu Prof Bhalalusesa naye anaiangusha sana elimu yetu maana kila kitu anamuunga mkono huyo akilaza Shukuru. Amekuwa kijakazi na kibarua wa shukuru na siyo Kamishna wa elimu. Atawajibika kwa kushinikiza wataalamu wa elimu watii siasa badala ya kusimamia taaluma

Roho za marehemu waliopoteza maisha kutokana na matokeo batili zimlaani shukuru na kamishna kijakazi wake
 
Dk. Ndalichako hongera sana kwa kazi nzito na nzuri unayoifanya. Mimi binafsi naridhika na kazi nzuri unayoifanya. Kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania ni sera mbovu ya serikali ya chama cha mapinduzi (CCM). Fanya kazi zako bila kuingiliwa na mtu yeyote. Watanzania wenye akili tuko pamoja nawe.
Hilo la sera ya CCM sawa,na je hili la kupandisha madaraja pasi na kuwafahamisha wadau wa elimu na hili atakuwa wanamuonea kwa ajili ya udini?
 
ojective ni nini hapa????
upo msalani nini???????
haya hebu tulia halafu andika ulichokuwa unataka kuandika.

Mbona jazba? Huwezi kumsulubu Dr. Ndalichako kwa mtaji huu! Usihamaki anaposifiwa na kutiwa moyo! Huo ni mtazamo wake, ni LAZIMA uheshimu!
 
ndalichako kakosa umakini,mwaka jana aliwaliza waislam wakapata F za kutosha,walipo fuatilia kwa nguvu zote aliwaambia kuwa hayo ndio matokeo yao walipoomba karatasi za kujibia(script)hawakupewa badala yake akatoa matokeo upya lkn nawakala wa mfumo kristo walimtetea pamoja na kuwa ushahidi ulikuwa wazi,akasingizia technical error,leo yamejirudia bahati nzuri safari hii imekula kote.kwanini alibadilisha viwango vya ufaulu bila kuwajulisha walimu na wanafunzi ambao ndio walengwa wakuu wa mfumo wa elimu?taifa tutalibomoa endapo tutaendekeza ushabiki.haki itawale kwanza ili amabi yetu nayo idumu.
 
Acheni kupigwa changa la jicho nyie, yaani kuwe na mabadiliko kama hayo halafu waziri asijue. Kwanza Waziri mwenyewe ndiye aliyetangaza matokeo mwaka huu. Jeeeee, alikuwa anatangaza kitu asichojua kilivyopatikana??? Jeeee, kama kweli Ndalichako ndiye aliyefanya hayo, kwa nini hiyo bosi wake Kawambwa anamwacha aendelee kutumia kiyoyozi pale NECTA? Jeeee, kama huyo ni Waziri makini hakutakiwa achukue hatua yoyote kama akina Mwakyembe na Magufuli??? Jeeee kama hana ubavu wa kumchukulia hatua bosi wa NECTA hata kwa jambo kubwa kama hili lililosababisha maafa bado aendeleeee kuwa Waziri ili NECTA iendelee kufanya madudu??

Tafakali chukua hatua ya kumwondoa Kawambwa ambaye ameshindwa kufuatilia yanayoendelea kwenye taasisi zake na anashindwa kuchukua hatua pale ambapo amepewa ushahidi na Tume tena ya Waziri Mkuu.

Kawambwa hafai kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi maana hana maamuzi hata kwenye masula mazito kama matokeo ya Kidato cha Nne 2012
 
Dk. Ndalichako hongera sana kwa kazi nzito na nzuri unayoifanya. Mimi binafsi naridhika na kazi nzuri unayoifanya. Kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania ni sera mbovu ya serikali ya chama cha mapinduzi (CCM). Fanya kazi zako bila kuingiliwa na mtu yeyote. Watanzania wenye akili tuko pamoja nawe.

Hapo umenena kamanda! Nakuunga mkono 100%
 
Acheni kupigwa changa la jicho nyie, yaani kuwe na mabadiliko kama hayo halafu waziri asijue. Kwanza Waziri mwenyewe ndiye aliyetangaza matokeo mwaka huu. Jeeeee, alikuwa anatangaza kitu asichojua kilivyopatikana??? Jeeee, kama kweli Ndalichako ndiye aliyefanya hayo, kwa nini hiyo bosi wake Kawambwa anamwacha aendelee kutumia kiyoyozi pale NECTA? Jeeee, kama huyo ni Waziri makini hakutakiwa achukue hatua yoyote kama akina Mwakyembe na Magufuli??? Jeeee kama hana ubavu wa kumchukulia hatua bosi wa NECTA hata kwa jambo kubwa kama hili lililosababisha maafa bado aendeleeee kuwa Waziri ili NECTA iendelee kufanya madudu??

Tafakali chukua hatua ya kumwondoa Kawambwa ambaye ameshindwa kufuatilia yanayoendelea kwenye taasisi zake na anashindwa kuchukua hatua pale ambapo amepewa ushahidi na Tume tena ya Waziri Mkuu.

Kawambwa hafai kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi maana hana maamuzi hata kwenye masula mazito kama matokeo ya Kidato cha Nne 2012

Hafai hafai hafai!
 
Back
Top Bottom