Recent content by hnrc

  1. H

    JamiiForums Nyambizi za Iran zafanya mazoezi ya kurusha makombora ya cruise jask-2

    Sio bure unafanya kazi ikulu ya marekani maana hizi info ht wamarekani wnyw hawazijui nadhani. Kweli kaka hapo juu ana point "hizi stori za vijiwe vya kahawa vinaharibu mbongo za vijana"
  2. H

    JamiiForums Fikiria kama ARV zingekuwepo miaka ya 80 au 90

    Maana ARV zmekuja baada ya HIV so kivipi ARV zisababishe UKIMWI. pia nnavojua wenye ukimwi ndio wanakunywa ARV.
  3. H

    JamiiForums Fikiria kama ARV zingekuwepo miaka ya 80 au 90

    Tupe ukweli. Hamna HIV wakati watu wanakufa kwa HIV. em tupe huo ukweli
  4. H

    JamiiForums US launched Cyber attack on Iran weapons systems

    Marekani sio ya kusapotiwa kwa anayofanya lkn sio nchi ya kupigwa mkwara na irani.
  5. H

    JamiiForums US launched Cyber attack on Iran weapons systems

    Kwani kutokupatikana mwafaka ndo wapegane vita. Hahaha. Na marekani hapigani kijinga namna ambayo wengi wanataka eti arushe tu makombola ndo tujue ana uwezo. We hujiulizi hao hao irani wanaojitia wababe mpk leo wapo kwny vikwazo vya mmarekani. Na huyohuyo mmarekani leo hii inacontrol nchi nyingi...
  6. H

    JamiiForums Hofu inaendelea kuua watu zaidi kuliko kitu chochote.

    [emoji121] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Hofu inaendelea kuua watu zaidi kuliko kitu chochote.

    Unajua braza sijakupinga kua tusiishi tutakavyo bali tusidhani kwamba kisa babu yako kaweza fika miaka mingi na wengine wataishi hvohivo kwa life style ya babu yako na wakaishi bila tatizo. Kwani hmn watu waliokunywa soda kama babu yako na wakapata maradhi kama kisukari. Nielewe tu hapa "sio...
  8. H

    JamiiForums Black Magic ni nini uchawi upi haswa?

    Mi nadhani hakuna kufufua aliyekufa kibaiologia labda tofauti na hapo, bali kunawezekana kufufua mwili (yani mfano spirit za kishetani zinavaa mwili wa aliyekufa). So unaweza kutana mtu udhani kafufuka lkn ni mwili tu unaongozwa na usichokiona. Just opinion. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. H

    JamiiForums Hofu inaendelea kuua watu zaidi kuliko kitu chochote.

    Kwanza Mtu unapaswa kuenjoy maisha. Lakini katka maisha kila kitu ni risk, endapo tungekua tunajua ya mbele tungeviepuka vyote ambavyo vingetutesa au vingetuua. Tatizo halipo kwenye kuenjoy bali lipo kwenye nini kitakuua au kitakutesa. Nnachojua hukatazwi kunywa wala kula au kufanya kitu...
  10. H

    JamiiForums Nini hupeleke watu kushikwa haja ndogo kwa wakati mmoja hasa wanapokuwa pamoja?

    "Conditioned reflex actions" -matendo ya kimazoea- (sijui tafsiri rasmi ya kiswahili ila ht hiyo inajieleza. Ni sawa na unaposikia harufu ya chakula au mida flani uliyozoea kula ikifika njaa inazidi. Sawa pia na usingizi kuna mida uliyozoea kulala ikifika huwez jizuia hata kama hujachoka n.k...
  11. H

    JamiiForums Bonge la series, kama unapenda chakula ya macho apa ndo pahala

    Money heist ya mwaka huu inahusu majambazi waliovamia benki na kujitengenezea pesa zao zisizosajiliwa badala ya kuchukua zilizopo ili kuepuka kuwa traced. Hii kitu series ni hatari.
Back
Top Bottom