Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
Naona retaliation t ndio imeanza
Kama Venezuela eti eehHaitoshi wazimieni umeme
Nawaonea huruma wananchi wakawaida wa Iran kuhusu maisha watakayo ishiHaitoshi wazimieni umeme
I love high iqNaona retaliation t ndio imeanzaView attachment 1135740View attachment 1135741
Unafamu virus anaeitwa Stuxnet?kama huwajui waulize vizuri WairanKwani hayo makombora yanaendeshwa na apps zilizodownlodiwa app store ama.
Teh teh teh ndege haziruki tena?embu leta ushahidi hapasasa kama walidisable military launcher system,kwanini ndege za kipelelezi za marekani haziruki tena persian gulf?,mambo mengine ni kujiuliza tu,hii habari ya,"wametufunga lakini chenga twawala" ,haiwezi kubamba maana ni facesaving strategy tu
Unafamu virus anaeitwa Stuxnet?kama huwajui waulize vizuri Wairan
Kwani kutokupatikana mwafaka ndo wapegane vita. Hahaha. Na marekani hapigani kijinga namna ambayo wengi wanataka eti arushe tu makombola ndo tujue ana uwezo. We hujiulizi hao hao irani wanaojitia wababe mpk leo wapo kwny vikwazo vya mmarekani. Na huyohuyo mmarekani leo hii inacontrol nchi nyingi sana anavotaka, why? Akili tu. Wairani kila siku kutoa vitisho tu.Kwanini hakumfanyia North Korea wakati wamektana mara mbili imeshindikana kupata mwafaka?