Recent content by Hnest

  1. H

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu matabibu wanaounga mifupa ya aliyevunjika kwa njia za kienyeji hapa Dar

    Vipi mkuu ulifanikiwaga kwa huyu Dr?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Sheikh Yahya Hussein Na Alhaj Abdallah Tambaza

    Mola ampe uwepesi ... sisi sote ni waja wakwake na hakika kwake tutarejea.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni, Nashangaa kwa nini nampenda Lowassa

    Ni Mawazo yangu tu nadhani Huyu jamaa atakuwa Masonic Member sio bure, 2008 jina lake lilichafuka sana Akaitwa fisadi leo fisadi anakubalika loh, Binafi Mimi ntampigia Kura
  4. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

    Mh haya mambo kweli huwa yapo au n story tu ?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    Mkuu ni kweli kuwa dit wanatoa bachelor in engineering while udsm...wanatoa bachelor in science in engineering..... But mostly engines from udsm ni theory tu but engineer bora awe anajua kazi angalia wenzetu wazungu wanafanya kaz practical
  6. H

    JamiiForums Tanzania Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    Dit kwa upanda wa uhandisi inatoa wahandisi bora zaidi kuliko Coet ....
  7. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Mkuu Rakims huo ulimwengu mwingine ni vitu gan unaenda kujifunza huko
  8. H

    JamiiForums Tanzania Massage Parlours/madanguro

    IPO wapi hii na kwa wa mama hii Huduma ipo na ni kiasi gan na mawasiliano vp
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua lini majibu kwa walio appil TCU lini majibu yatatoka?

    Msaada kwa anayejua lini majibu kwa walio appil TCU lini majibu yatatoka?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

    Kwa hapo chimbuko la uchawi ni mji wa babeli?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Wapo sinza now pia na kimara wanavamia maduka
  12. H

    JamiiForums Tanzania Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

    mkuu Mzizi mkavu nataka kujua hivi vito hata ukiwa nacho mfukoni kazi yake si sawa tu na kuvaa?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani jinsi ya kujiunga na freemason

    nenda posta pale zaman ilikua inaitwa kilimanjaro hotel kuna ofisi zao watakusaidia
Back
Top Bottom