stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 529
Na mimi ni wale wale accounts nkuwa siipendi kama nini....
Hakukuwa na somo jepesi kwangu kama mathematics aisee. Niliibamiza mbaya
Ahaa!!mambo ya probability ni balaa..kupata tu maswali yake ni probability.
pOLE Hiyo topic ni topic nyepesi kuliko zote,ugumu wake unakuja inahitaji mtu mwenye imagination kubwa na ugumu mwingine ni kuprove kama jibu lako ni sahihi hasa kama huzijui law.Ahaa!!mambo ya probability ni balaa..kupata tu maswali yake ni probability.