Recent content by HizMAJESTY

  1. HizMAJESTY

    Kipindi cha TBC aridhio wamejitahidi sana

    TUNATEKETEZA Sent using Jamii Forums mobile app
  2. HizMAJESTY

    Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa

    Yaani nimeshangaa sana mkuu, pamoja na mapambio yote ya TUNATEKETEZA kumbe hamna kitu !! Kweli bongo bahati mbaya... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. HizMAJESTY

    Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa

    Labda huku bongo tupo kuzimu! Ndo maana na corona inasitasita kujisogeza Sent using Jamii Forums mobile app
  4. HizMAJESTY

    Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa

    Kumbe Corona inaweza kupimwa mara moja na mtu kupewa majibu!? Mbona hapa bongo tunaambiwa hadi maabara maalum iliyopo dar!? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. HizMAJESTY

    Colombia: Watu 23 wafariki dunia na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa katika jaribio la kutoroka gerezani kufuatia hofu ya mlipuko wa Corona

    Hao walitaka kutoroka tu, utakimbia kifo cha corona ukipuuzia mitutu ya maafisa magereza!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. HizMAJESTY

    Ushauri wangu kwa Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM

    Jadili hoja, unanijadili mimi!! Ninahusikaje na umasikini wako. Chadema na Ccm ni vyama vya siasa nchini mwetu kisheria, hakuna waasi kwenye hivyo vyama. Wala hakupaswi kuwepo uadui, tofauti zipo kwenye itikadi na mbinu za kupata madaraka. Sisiem kuna wakati wanatumia nguvu ya dora kudhibiti...
  7. HizMAJESTY

    Ushauri wangu kwa Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM

    Mambo ya kudhania usiwe unawambia watu hadi pale akili yako itakapo-confirm... Kushirikisha watu mambo ya kudhania tu, ni hulka ya umbea. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. HizMAJESTY

    Ushauri wangu kwa Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM

    Mi sio mwanasisiem ila naona umejaza majungu tu! Huyo "Taratibu" mara nyingi anawasiliana na Mwenyekiti wake kabla ya kuwasiliana na umma, hivyo mara nyingi anachokizungumza kinaweza kuwa ndizo fikra za M.kiti ambaye unamshauri kupitia uzi huu eti amwondoe kwa udhaifu unaomtuhumu. Huyo...
  9. HizMAJESTY

    Safari yangu ya kwenda Bulombola ilivyonikutanisha na Mrembo wa Kaskazini

    Kuvua nguo !! Ni kweli ama unanogesha soga!! Bila kujali uwepo wa jinsia ya kike, loh! Kumbe patamu sana huko. Na wale wasopenda kunyoa mazivu si ndo kuaibika...? Vipi mb*o ikidinda ni kosa? Lete michapo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. HizMAJESTY

    Ishara ya kuumwa na kichwa angalia kichwa chako kinaumaje?

    Wakati mwingine hata kusoma herufi kubwa huumiza kichwa, hasa inapoongezewa na kielelezo chenye lugha ya kiarabu!!...kichwa hugonga maradufu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. HizMAJESTY

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Kweli huu uzi kiboko. Natumbua uwepo wako The Boss Sent using Jamii Forums mobile app
  12. HizMAJESTY

    Ulaya pamenishinda narudi bongo

    Hivyo eeh! Njoo nikupanguse machozi kabla Mr. Bishanga hajarudi. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. HizMAJESTY

    Ulaya pamenishinda narudi bongo

    Kuna watu wanajiamini kwa kut*mb* hadi wanasaka passport na viza kwenda kuonyesha umwamba kwa vibibi vya kizungu! Huyu bahari sio kabisa yaani! Miezi siku tisini tayari ushatamani bongo!! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. HizMAJESTY

    Ulaya pamenishinda narudi bongo

    Legelege wa kwanza ni wewe ambaye husomi comment hadi mwisho. Hapo ulipo hata ofisi za migration hujui zilipo, umekomaa na tecno yako kuwasema watu vibaya. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. HizMAJESTY

    Ulaya pamenishinda narudi bongo

    Pole sana, angalau umethubutu kukiri mapema kuwa ughaibuni hapajakufaa, wazamiaji wengine hawasemi lolote hukomaa kibishi wakati wakiwa na maisha magumu tu. Mkataa kwao ni mtumwa, we rudi tu home ilimradi usije kutuongezea Corona hapa nyumbani. Kutamani kwako kurudi hakutukatishi tamaa sie...
Back
Top Bottom