Recent content by Hirosy

  1. Hirosy

    JamiiForums Tanzania UKIMWI umeua wengi jamani

    Kiukweli mpaka nimeishiwa na nguvu.nakumbuka nlivyompoteza my sister. Na baadae nikaja kujua kumbe na Dada angu mwingine nae anatumia ARV.naumiaga Sana.ila yy hajui Kama mm najua.naliaga sana
  2. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

    Mambo gani wanapitia?
  3. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

    Yaana unaweza kuta Mwanaume kamzidi Msichana umri, na akamuoa bila ya matatizo yoyote.ila linapokuja suala la Mwanamke kumzidi Mwanaume umri.litaongelewa na mpaka kila kiumbe kitajua kwamba Mwanamke ni mkubwa kuliko Mwanaume.Wewe Kama wewe unalichukuliaje hili,na wewe mwanamke,Yalishawahi...
  4. Hirosy

    JamiiForums Tanzania EKOTITEEEEEE! Wake Za Watu Kujichoresha Insta Wakati Vimada Wa Mumeo Ndo tunakufollow

    Yaani haya MAPENZI ukiwa na hasira hutoishi miaka mingi kwa ajili ya stress
  5. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Umesevu vipi jina la mpenzi wako kwenye simu?

    Nyumba ndogo Nazo zinaphos upendo tu kwa waume za watu.Ona sasa majina wanayo seviwa,mara mzibuwa vyoo,No[emoji22][emoji22]
  6. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Umesevu vipi jina la mpenzi wako kwenye simu?

    Nina Iman wewe ni Mme.iweje umpende baba mkwe.we ni jipu[emoji23][emoji23]
  7. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Umesevu vipi jina la mpenzi wako kwenye simu?

    Hubby
  8. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Umesevu vipi jina la mpenzi wako kwenye simu?

    Kutakuw kuna kitu mnashere
  9. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni kikwazo kikubwa cha furaha yangu

    Pole.mueleweshe. wanawake wengine wanafata mkumbo.
  10. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Actor/Actress To Volunteer / Muigizaji wa Kike/Kiume wa kujitolea

    Unatumia nauli yako+mda loh
  11. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Saluni 50,000/- kanipoteza mazima

    Alikuwa anakupima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa instagram unavutia?

    kumbe ndo maana yangu ya zamani inasumbua kiasi kile. ngoja niupdate
  13. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    nina huawei y520 ivi ninaweza kudownload nami nikawa Naa galia?
  14. Hirosy

    JamiiForums Tanzania Moja ya matukio ya mama mzazi ambalo hutalisahau maishani mwako

    Nakumbuka siku matokeo ya darasa LA Saba yalipotoka katika shule yetu tulifaulu watoto kumi tu na wanawake tukiwa wawili tu,Na hapo ndo nilipowaza kwamba shule ndaendaje kuanza kujiunga na kidato cha NNE wakati maisha ya pale nyumbani ni duni Sana. Niliumia Sana lakini mama akamshauri baba wauze...
Back
Top Bottom