Wakuu,
Hongereni kwa comments,
Ushauri wangu kuhusu hili ni kwamba ,kula mixed fruits si mbaya ila kuna ukweli kwenye "mixed PH fruits" namaanisha kama wapenda kula matunda,kula ya aina moja(matamu),,,,,,,usichanganye na machachu(limao,chungwa,) hapo unatengeneza matatizo kwenye mfumo wa chakula...