Faida ya kunywa maziwa ya ngamia

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,128
Benefits of Drinking Camel Milk

FAIDA YA MAZIWA YA NGAMIA.jpg



Camel milk is extremely nutritious and absolutely safe for consumption. It is believed that people who drink camel milk on a regular basis are less prone to suffering from body ailments. Keep reading to explore the benefits of drinking camel milk.

Eminent scientists and researchers from different countries have proven that camel milk has numerous health benefits. It has been touted since ages that the milk of this desert animal has endured nomads and Bedouins during their long wandering odyssey. Domestication of camels and camel farming are extensively carried out in dry and arid regions like Saudi Arabia, UAE, Kenya, etc. In these places, you will find camel milk and its derivatives being readily sold in departmental stores and supermarkets. Though it is still an existing product and not so popular across the world, yet in many parts of the US, camel farming has been set up to boost the sale of camel milk. Importance is given to enhance supply of camel milk, only due to its supremely high nutritional value.

Composition of Camel Milk

Its composition is almost similar to a human mother's milk. Being enriched with proteins and vitamins, it is a perfect dietary supplement for healthy as well as malnourished children and adults. The key vitamins include vitamin A, B and B2. It contains essential minerals like potassium, zinc, manganese, copper, magnesium, sodium, and iron. The presence of sodium renders it slightly salty. When compared to cow's milk, the lactose and fat content of camel milk is much lower than the former, while vitamin C and iron content are 3 times and 10 times more than cow's milk, respectively. Its nutritional value is enhanced with the presence of polyunsaturated fatty acids, linoleic acid and volatile acids. As immune factors are present in its milk, you can have it regularly to strengthen your immune system. Last but not the least, camel milk also contains specific antimicrobial elements, which are indeed useful for the body.

Health Benefits of Camel Milk

General Health

From the composition itself, you can very well estimate how nutritious camel milk is. The wide range of nutritional elements present in camel milk improve the general health and resistance of the body. It strengthens bones and is therefore, suggested to people suffering from calcium deficiency and bone disorders, especially in case of osteoporosis. Drinking camel milk solves sexual issues, like impotency, lack of libido and suppressed sexual drive. It is an excellent health drink for people suffering from nutrient deficiency and is safe for lactose-tolerant people. In general, you can have camel milk to stay fit and energetic.

Ensures Immunity

As already said, camel milk contains antibodies and immunoglobulins; it therefore, makes the body resistant against a wide range of diseases and invasion of foreign particles. When you drink camel milk on a regular basis, your body naturally acquires an improved immune potential. The basic function of the immunoglobulins is to protect the body against autoimmune disorders, allergies and several types of bacterial, fungal and viral infections. You can have camel milk every day, simply for increasing your power of immunity.

Diabetes Management

Drinking camel milk helps in controlling type 1 diabetes. From case studies and clinical trials conducted by scientists, it has been established that camel milk contains insulin and insulin-like proteins which have an anti-diabetic effect in the body. A research publication states that, "Clinical trials in humans with diabetes type 1 have shown that daily consumption of 0.5 liter camel milk reduces the need for insulin medication by an average of 30%." Thus, consumption of camel milk can probably reduce the dosage of insulin needed for diabetes patients.

Recovery from Autism

Tests were performed on individuals suffering from autism to prove its efficacy in eliminating health complications associated with this disorder. The research thesis of Dr. Yosef Shabo and Dr. Reuven Yagil explains that, camel milk being devoid of beta-casein and beta-lactoglobulin, is not detrimental to autistic people. Furthermore, the immunoglobulins and protective proteins present in it, aid in development of the brain. They conducted a survey regarding the effects of camel milk on autistic children of different age groups. The results of the case studies were quite convincing and proved that camel milk actually showed improvement in their communication skills and functions of the brain.

You must take your doctor's advice before drinking it for the purpose of controlling diabetes or as a cure for any kind of health disorders. I would suggest you to check that the milk comes from a well-controlled herd and the product has been pasteurized properly. You can also have cheese and butter manufactured from camel milk. And today, owing to its immense medicinal value, it is the key ingredient in a wide range cosmetic products and dermatological creams.

Maziwa ya Ngamia yana Faida kubwa kiafya ya Binadamu nawashauri watu wapendelee kunywa haya Maziwa ya Ngamia

Yana Vitamini muhimu ni pamoja na VitaminiA,B na B2. Maziwa ngamia yana madini muhimu kama vile zinki potasiamu,, manganese, shaba, magnesiamu, sodium,na chuma.Mbele yasodiumimeita kama kidogo chumvi. Kwa hiyo pendeleni kunywa haya Maziwa ya Ngamia ni Dawa na ni Mazuri kwa Afya ya binadamu asanten.

Maziwa ya ngamia yametajwa kuwa moja ya chakula muhimu chenye virutubisho vingi vyenye kinga ya magonjwa mbalimbali mwilini, yakiwemo magonjwa ya Ukimwi, kisukari, vidonda vya tumbo, fizi kutoa damu, upungufu wa vitamini C na kadhalika.

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizopo kutoka kwa wataalamu wa ndani na nje ya Tanzania, maziwa ya ngamia yamesheheni vitamin muhimu katika mwili wa binadamu kama vile vitamin A, B na B2 na kwamba maziwa hayo ya ngamia yamesheheni madini muhimu kama vile zinki, potasiamu, manganese, shaba, magnesiamu, sodium na chuma.

Aidha wataalamu wa afya wanashauri kwamba ni muhimu kwa watoto wadogo wa chini ya umri wa miaka mitano na watu wazima wenye umri wa zaidi ya miaka 50 kujiwekea utaratibu wa kupata glasi mbili za maziwa kila siku kwa ajili ya kulinda afya zao zisishambuliwe na maradhi kama ya kisukari, vidonda vya tumbo, uti wa mgongo na wale wenye VVU tayari.

Mbali na kuwa na faida hiyo ya kutoa maziwa yenye virutubisho muhimu mwilini pamoja na ubora wa nyama yake, ngamia anazo sifa za ziada za utunzaji wa mazingira tofauti na mifugo mingine na kwamba ngamia ni mnyama anayeweza kutumika kubebea mazao shambani, usafiri wa kubebea wagonjwa au kama usafiri wa kawaida kutoka eneo moja hadi jingine.

Hata hivyo, baadhi ya wachambuzi wa mambo wameweka wazi kwamba pamoja na maziwa ya ngamia kuwa na umuhimu mkubwa kwa afya za binadamu, tatizo lililopo kwa hapa nchini ni upatikanaji wake hivyo kuiomba Serikali kutoa msukumo wa kipekee katika ufugaji wa wanyama hao, hasa katika maeneo yenye ukame ambako inaelezwa wanapenda kuishi.
 
Dar zoo kigamboni yapo lakini kwa special bill ni bit expensive ndo maana wanaoweza kuaAfford ni wachache wazee waarabu wa upanga,ilala, kariakoo na kwingineko ndo most customerz (they have a connection with camels). Mi msukuma wa sengerema wapi na wapi na ngamia? Ebooo Wang'waa faza..
Kumbe hapo Tanzania maziwa ya ngamia yapo? nitakapokuja nitayanywa nina hamu nayo sana.
 
Kwanini hutaki?

kwanini huyataki Maziwa ya Ngamia? mimi ninayataka sana Maziwa ya ngamia yanaongeza nguvu za kiume na dawa ya Ugonjwa wa kisukari ( diabetes)

kwanini hautayanywa Maziwa ya Ngamia?

Inabidi watu tuwe na mipaka - mwisho tutatamanishwa maziwa ya nguruwe, mbwa nk
 
Inabidi watu tuwe na mipaka - mwisho tutatamanishwa maziwa ya nguruwe, mbwa nk

Ngudu mzizi mkavu huwa nazifurahia sana comment zako na hili la leo nimeona niweke na mimi mchango wangu,hapa arusha huwa tunayapata kirahisi hayo maziwa maana yanatoka TURKANA kama ukiyapata kabla hayajawekwa "nyingi" ukawa unayaweka kwenye friji asubuhi una jog,ukimaliza unapata kikombe cha maji moto then maziwa hayo na kijiko cha asali ya nyuki wadogo.....aaaaah nadhami wale wagonjwa wako wa yale mambo yetu yale ya ndoa watakuwa wamepungua ,wengi hawajajua
 
Inabidi watu tuwe na mipaka - mwisho tutatamanishwa maziwa ya nguruwe, mbwa nk
Hao watu watakao kukwambia kuwa unywe Maziwa ya nguruwe,Au Mbwa au paka watakuwa wana matatizo ya akili. Wewe unachotakiwa utumie akili yako tu ukiweza tumia hayo Maziwa ya Ngamia hukuweza acha usitumie hayo maziwaya Ngamia hakuna mtu wa kukulazimisha kutumia mkuu Samahani kama nitakukwaza.

Make It or Break It
 
sijawahi kunywa af nataman ladha yake ntayatafuta,huyu mnyama anaheshimika sana hata kumchinja kwake lazima uwe umejiandaa, (sio kama swain a.k.a nguruwe)chazo futuhi
 
Zamani nilikuwa naambiwa kuwa Toffi zinatengenezwa kwa maziwa ya ngamia so tusipende kula toffi na good good....hapo zamani.
 
Back
Top Bottom