Recent content by hipocampus

  1. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Upepo wa Motivational speakers, Vijana na NGOs, kilimo cha makaratasi, project za innovation kiteknolojia zinaishia wapi?

    Yaan huu uzi umenifurahisha sana ,nimemkumbuka Yule Dada aliyenishawihi nijiunge(ila alidunda[emoji2]) Na Wazee wa GUDMORNING mchana kweeupeee pale . pale biafra
  2. hipocampus

    JamiiForums Tanzania SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    I adhere to da point!
  3. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Mitungi ya kuhifadhia pombe inahitajika

    yupo Dar au ?
  4. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Oliver N’goma: Mmoja kati ya wanamuziki bora zaidi wa kiume wa miondoko ya Zuku

    safi sana kaka kwa ufafanuzi ..hii nyimbo itaishi sana ..bnafsi naipenda mno ...."MOBI MOBI USANGULA MUMU"
  5. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Unajisikia namna unavyojifikiria muda mwingi

    Safi sana nyie ndio mnaoleta maana halisi ya JamiiForums
  6. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

    Duuh SHISHI kama nampata ..si ndo uyo anaitwa Tatu ..[emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufungua Soko Kuu Mkoani Morogoro Leo Februari 11, 2021

    BADO kufungua Bucha tu !
  8. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

    Kumbeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  9. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya mafundi wa umeme hawajui kukabiliana na current wanajua kukabiliana na voltage

    Sijajua kwanin binafsi n mtumiaji sana wa Current (ampere)..ktka kazi zang za frdge na A.c. huwa natumia Clump meter tu ..naweza fanya kila kitu
  10. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa wabaya wangu sio CCM bali ni vijana!

    Wengne waliniambia mim n MaCCM. Wengne wakaniuliza jinsia licha kwenye Aya yang ya mwsho niliitaja japo sio kwa umuhimu ! Lkn hata kama ikiwa hivyo bado aihalalishi kwa Mavjana kutopiga kura !
  11. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa wabaya wangu sio CCM bali ni vijana!

    Well said Mkuu! Sijui walikumbwa na pepo gani siku ile. . Pengne kufata mastor ya vijiweni tu ..MAANA kuna sehemu usipopiga kura unaonekana Mwamba ! kumbe kwenye duru za Maarifa wew n Hamnazo tu! Wanaona sawa tu bila kujari huyo mtu atampangia hadi Bei ya "Taulo za kike" na "Condom" mfano wa...
  12. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa wabaya wangu sio CCM bali ni vijana!

    Akikujibu nitag Mkuu ![emoji23]
  13. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa wabaya wangu sio CCM bali ni vijana!

    Wanasikitisha sana eti nipo Busy ..Miaka mitano ina masiku 1825 siku ya kupiga kura n 1 yenye masaa 24 . Tume walitoa siku masaa 10 ..na kwa jinsi zoezi lilivyofanyika kipindi hich ukichukua muda mrefu basi n dakika 30 . Hivi kwa Akili ya kawaida tu huyu mtu anakosaje dakika 30 ndani ya siku...
  14. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa wabaya wangu sio CCM bali ni vijana!

    Umeonesha ubinafsi wa hali ya juu sana juu ya hawa vijana wew unafanana na wale "kila mtu afe kivyake" huku atakayekuzika hamjui ? Anyway hivi haujui hao mavijana ndio taifa nguvu kazi kwa uchumi wetu? Sasa kama hawatopiga kura huoni watakuharibia mpk wew mfano,mshahara inabak static Hizi...
  15. hipocampus

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa wabaya wangu sio CCM bali ni vijana!

    Ngoja wanyooke kweny siku 1825 zijazo .nafikir akili itawakaa sawa tu
Back
Top Bottom