Recent content by HIMLER

  1. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

    Hata ka uti hujapata mzee
  2. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Kuangusha kombora moja la Hamas kunaigharimu israel dola 80,000

    Hawawezikukuelewaaa
  3. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu ya mmea wa azolla

    Ninaishi maeneo ya mbezi kimara nahitaji mbebu ya mmea wa azolla kwaajili ya kuku msaada wena jf Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kwa wale wenye uelewa mzuri wa biashara hii naona bongo imeanza kushamiri kwa wenye uelewa wa hii kitu pls tupene maujanja na siw tuweze kula henes wikiendi karibuni
  5. HIMLER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    Dhambi unajua ww
  6. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Leteni maujanja tuachane na kuumizwa na muhindi Naomba kufahamu best settings za MACD kulingana na time frame 5M,15M,30M,1H,4H na 1D nikimaanisha Fast EMA Slow EMA na MACD SMA
  7. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Forex trade

    Naomba kufahamu best settings za MACD kulingana na time frame 5M,15M,30M,1H,4H na 1D nikimaanisha Fast EMA Slow EMA na MACD SMA
  8. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Tumia mafuta ya habat soda (black seed oil) kutibu magonjwa mengi

    #MziziMkavu nasumbuliwa na malaria mara kwa mara je habat sauda inaweza nisaidia na ni namna gani nitumie
  9. HIMLER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Unasubiri nini wakati ushajua ameburuzwa ww mpige chini utapata tabu kwa muda flani ila utakuja kua sawa tafuta mwanamke mwengine wanawake wako wengiii sanaa
  10. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Wdau nauza ngurue wakubwa na size ya kati wako ishirini niko himo kilimanjaro pia kama una number ya mtu anaye nunua kwa mkupuo naombeni
  11. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Spika aagiza kuondolewa maneno katika hotuba ya upinzani kuhusu Wizara ya Ulinzi

    Mwnye hii hotuba naiomba niisome
  12. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Spika aagiza kuondolewa maneno katika hotuba ya upinzani kuhusu Wizara ya Ulinzi

    Mwenye hiyo hotuba pls naiomba niisime na mm
  13. HIMLER

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Vita: Korea Kaskazini yawahamisha raia 600,000 kutoka mji mkuu Pyongyang

    Umekosea sio taifa korofi nitaifa jasiri duniani
Back
Top Bottom