Change_it
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 279
- 85
- Thread starter
- #21
Change_it,are you making any money from forex? unatumia broker gani/maana usipokuwa carefully unaweza kupoteza kila kitu and not from trading ila dishonest brokers,niliona kituko broker alikuwa haruhusu withdraw of more than 5000$ at once (WTF) na vipi TZ kuna watu wanafanya hii kitu based in TZ or lazima watumie platforms za overseas? broker ni muhimu sana usitumie wenye njaa maana wakienda kaputi ujue pesa yako nayo imeenda,ni bora kutumia brokers wakubwa ambao ni stable kama CITI,Deutsche bank hata barclays ingawaje ni expensive for minimum deposit lakini uko sure na usalama wa pesa zako na unaweza withdraw fund hata dola laki moja at once bila matatizo,na vipi TZ how do they tax forex earnings?na kwa wale wenye interest na forex kuna site nyingi for beginners ambazo ni very educational kama babypips,forexfactory etc lakini ukweli forex is hard!!!
mkuu niko kwenye forex kwa miaka 3 sasa, mabrokers wa namna hiyo wapo, unachotakiwa kufanya ni kuangalia kama huyo broker wako yuko registered and regulated lazivyo huwa watakuzingua kwenye ku-withdraw.broker ninaofanya nao kazi ni instaforex na etoro cheki hiyo link hapo juu utaona.kwa tz kuhusu tax sijawahi kuona mi ninawithdraw kutumia mastercard ya insterforex au nikitaka kuingiza kwenye account yangu ya bongo natumia wire transfer au moneybooker ambayo nime-link debit card yangu.ila benki za kibongo ukiingiza mzigo wa 50,000$ lazima uutolee maelezo kidogo kama wakizingua unawapigia broker wako wanaongea na bank kuhakikisha fedha ni halali na unafanya nao kazi.nowdays forex trading ni maarufu sana hivyo na mabroker wanaochipukia ni wengi wengine hawajasajiliwa ambao ndo hao matepeli na maujanjajanga mengi kama kukuzuia ku-withdraw,ila ninachojua hackers wanapenda sana maeneo haya hiyo sometime withdraw inakuwa na delay sasa trader wengine wana-panic wakifikiri wanatapeliwa na matatizo mengine mengi. Cha msingi hakikisha security kwenye kompyuta yako,kutumia kadi za bank kwenye kompyuta ambazo hazina internet security ni hatari, halafu ukicheki application software mtu ame-install ma-pirated software kibao ambazo nyingine zina-leak information zako kwenye internet.