Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
Tujuavyo sote:
Advanced level ni miaka miwili na Chuo cha Ualimu "Butimba TTC" ni miaka miwili pia, yeye alisomaje EGM High School na TTC ndani ya miaka miwili?
Alieleta madam...
Mie nastaajabu...nilikimbilia mwisho wa maelezo ya mtoa mada ili nijue yeye anaona nani anaefaa kumbe nae hakumtaja..hapa unampa MTU publicity ya bure bila kupania kufanya hivyo..to a mbadala hapa tutathmini
Kuwakimbia ni shida/taab kwani wako kila kona..Mara nyingine hufika mikoani pia usifkir hawatoki nje ya Dar...In short wanaume wengi unaovutiwa nao wametia timu Dar....hata huyo ulienae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.