- EL ni muasisi wa ufisadi na ni FISADI nambari one Tz
- an roho mbaya sana na anaweza akamfanya mtu chochote pale anapotofautiana naye.(amewafanyia vibaya watumishi wengi na wafanya biashara ambao hawamhusudu ikiwepo kuhamishiwa porini kabisa)
- an kisasi kibaya sana (anachukua kitu moyoni)- ( muulize aliyekuwa Mkurugenzi wa same -ile issue ilikuwa ni kisa cha kuhisi mume wake yule mama alimdhulumu kwenye biashara zaidi ya miaka 10 kabla hajaja kulipiza, muulize pia Mwakiembe)
- anapenda kunyenyekewa sana (waulize kina Moloimiet, Sendeka, lekule Laizer, Elisa Mollel etc)
- hataki challenge (waulize waliojaribu kutafuta au waliopata nafasi za kisiasa Monduli-1 of them Peter Sironga, aliyekuwa RPC kabla ya yeye kuwa PM na waliofaidi ni kina DC -Lemburis Kivuyo, aliyekuwa OCD-Monduli kabla ya yeye kuwa PM etc)
- Ni malaya: muulize mumewake na Beatrice, DC- Lembris (wako wengi sana wake wa watu na malaya tu)
- Ni mladhuluma: amewadhulumu wengi mali zao akiwepo jamaa mmoja maskini kamnyamg'anya kiwanja mjini Arusha
- Mbinasi: Kila anachkifanya anataka yeye afaidike kwanza kabla ya uma. mfano mradi wa maji ya Mondulitoka Ngaramtoni aliiba zaidi ya biliono 20 na alitaka achukue shamba la mbegu ngaramtoni afungue mradi wake wa kilimo na atumie yale maji, Kumbuka RICHMOND pia, viwanja alipokuwa waziri wa ardhi.
- ni FISADI MKUU hata pale Mondui: Monduli tenda zote either ni za ndugu zake au vibaraka vyake, hela za maendeleo ya h/mashauri lazima yeye amege kwanza za kwake ndipo madiwani wakajadili salio.
- hataki kubishiwa: muulize RPC-Arusha kabla ya yeye kuwa PM, muulize aliyekuwa diwani, Sepeko, Mtowambu (Ramadhani), Mama mmoja aliyekuwa diwani Monduli-marehemu sasa ni inaaminika amehusika kumwondoa
- A tamaa sana: Kila kampuni inayofanya vizuri anataka amiliki hisa(muulize Mengi kwanini hawapatani na wenye makapuni ngingi ndani na nje yamkoa wa Arusha.
- NI DICTATOR WA MASLAHI BINAFSI: muulize mtumishi yeyote aliyeko Monduli ambaye ni mzalendo na anajielewa, muulize Sam Laizer, Marehemu sasa
- an Hila nyingi mbaya
- MTOA RUSHWA MBAYA (kila mtanzania analiona hilo) kama ana sifa hela za nini kumwaga kwa kasi kubwa namna hiyo? atazirejeshaje:
- ANAUMWA: ana ugonjwa wa kutetemeka mwili na magonjwa mengine SUGU
- Ni mfanya biashara wa nyara za taifa
- Si mkweli: mfano anamilikimali nyingi sana lakini alishawahi kusema ana miliki ng'ombe wachache tu
Niishie hapa kwa leo