Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

Ni vizuri muwe mnatoa suluhisho la tatizo ili tulijadili kwa pamoja! Ni vizuri pia ukamtaja mtu wako hapa naye tumjadili, sio mnataka mje kutushtukiza na mtu wenu mliyemvumbika kama maembe yaliyoshindwa kuiva yenyewe!
 
Ni vizuri muwe mnatoa suluhisho la tatizo ili tulijadili kwa pamoja! Ni vizuri pia ukamtaja mtu wako hapa naye tumjadili, sio mnataka mje kutushtukiza na mtu wenu mliyemvumbika kama maembe yaliyoshindwa kuiva yenyewe!

Mie nastaajabu...nilikimbilia mwisho wa maelezo ya mtoa mada ili nijue yeye anaona nani anaefaa kumbe nae hakumtaja..hapa unampa MTU publicity ya bure bila kupania kufanya hivyo..to a mbadala hapa tutathmini
 
Hivi hamuoni jina la mto mada ni kilaza? ??????? Huyu akili zake haziko sawa ...haina haja ya kujibishana nae ....waache ma vilaza wenzake wa mjibu maana akili zao ni za kuokota....
 
Mnataka tumchague lowasa ili rostam na genge lake la waizi warudi kwenye system.tunasema wananchi hatukubali hasa sisi wananchi masikini wa nchi hii
 
Jamaa yuko busy na shughuli za kichama na serikali

JKjuu.jpg
 
Wakuu heshima mbele,

Kwa upande wangu hivi ndivyo ninavyomfahamu Mtafuta Urais wa JMT Mzee Edward Ngoyai Lowassa a.k.a mzee Mamvi mbunge wa Monduli mkoa wa Arusha

1) . Namfahamu Lowasa akiwa nyuma yangu chuo kikuu NI TAPELI NA MSANII BY PROFESSION

2 . Namfahamu Lowasa akiwa mkurugenzi AICC Arusha aliyechota hela za WB za ujenzi wa AICC estates hususani mabarabara ya estate ya KIJENGE

3 . Namfahamu Lowasa wa Boyz - 2 -Men ambao walikataliwa na marehemu JKN kwa sababu nzuri tu kuwa hawakui wanajilimbikizia mali kwa kutumia nafasi zao za uongozi . Au tuseme wanatumia vibaya nafasi zao za uongozi kwa madhilaya nchi na wananchi.

4 Namfahamu Lowasa wa Richmond na Dowans

5 . Namfahamu Lowasa ambaye hakukutana na JK barabarani

6 . Namfahamu Lowasa anaehongo viongozi wa dini mbali mbali na boda boda ili uaupate urais

7 . Namfahamu Lowasa anaecheza faulo za uchaguzi Monduli ili mradi CCM ionekane inashinda na vyombo vya dola vinamlinda kwenye kufanya hayo

8 . Namfahamu Lowasa mwenye ukwasi wa kutisha ( aliotuibia kama nchi ) ambao umefanikisha kuwanunua wajumbe corrupt wa CC na wa mkutano mkuu ili wampitishe kwenye kugombea urais .

9 . Namfahamu Lowasa mgonjwa ambae yuko tayari suala la urais limtoe roho

10 . Namfahamu Lowasa ambaye CCM nzima inamgwaya wanshindwa kumuwajibisha

11) Alijimilikisha shamba la Bwn Miller Kijenge
Mwanama, akaweka PPF complex.

12).Akachukua Jumuiya Tour akaform
Leopards Tours.

13).Akatuingiza mkenge wa RICHIMOND,
DOWANS, HADI SYIMBION mpaka leo tunalia
na charge za TANESCO!!

14) Akahamisha fedha kununua majumba
matatu London kwa mpigo, Fred
akakamatwa huko ikaonekana fedha ni za
familia ya Lowasa!!

15).Anamiliki hisa za kibabe AirTel, Voda etc
kupitia CO ya Alphatel!!

16). Ni mtu hatari muulize S Kubenea ya
tindikali, mbunge Nasari karibu auwawe kule makuyuni kwa amri ya Eddo.


Wewe unamfahamu vipi Eddo..?


NB: wewe team lumumba buku saba mnaojadili watu na kubariki maovu ya mafisadi kana kwamba wote sisi hatuoni. Nakushauri anza na hatua ya kwanza uwe mkweli ndani ya nafsi yako halafu uwe na mtazamo huru .

UKWELI UTAKUWEKA HURU . Achana na kuwatetea wapuuzi mafisadi kumbuka tunaaswa " YARABI NAFSI YANGU" .Unaisaliti nafsi yako kwa shirki na waovu?
.............

Absolute garbage,absolute rubbish...hufahamu lolote kuhusu Lowassa;we shall keep you wetting your pants
 
Namfahamu kama mchapakazi ambaye anasimamia ukweli na kiongozi mwenye maamuzi sahihi
 
Alipokuwa waziri ofisi ya makamu waziri mnazi mmoja alizungusha bati pote wananchi wakayadamkia alfajiri wakayaondoa ili kunusuru eneo hilo
 
Lowassa hafai kuwa rais wa nchi hii................... kwanza kwa maradhi aliyonayo na hii tabia ya kufanyiwa overhaul ujerumani kila mwezi tutaingia hasara kubwa kupita hasara ya Tezi dume

Tuweke wazi, lowassa anaugua ugonjwa gani na sisi tujue, tiririka!!!!
 
Back
Top Bottom