Recent content by hijer

  1. hijer

    JamiiForums Tanzania Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

    1-Man city_Due to experience and Halland sign 2-Liverpool_Due to experience and Nunez sign 3-Man utd_Due to Ten hag sign and his history as well Martinez signed 4-Chelsea_Due to experience of players signs 5-Arsenal_Due to players signs 6-Tottenham_Due to coach experience and his ability to...
  2. hijer

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hujui unacho kiandika....fred na tom ni wachezeshaji? Au hao uliowataja na bruno wanatofauti gani katka roles on the pitch..
  3. hijer

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sasa Liverpool hii inayotoa draw na Newcastle na hii liver iloyokata tamaa na kila kitu...ndio ije ipoteze furaha ya timu iliyotoka kufumua mtu 6 nusu fainali...duuh mze tafuta kingne cha kututisha
  4. hijer

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jamaa ni hatari any tym
  5. hijer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuliwa wadada maofisini kamwe hakutoisha

    Dat is great bro...umesema kitu poa sana
  6. hijer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nyie Wanaume mpewe nini mridhike? Wanawake wenzangu kuna la kujifunza kwa hili tukio la Ebitoke

    Priscallia, Umeanza vzr ujaanza kunichukua moyo wangu nkajiona n miongoni..lkn gafla umeharibu jinc ulivyozidi kutyping msg yako...so hujanishawishi bado...ndio kwanza nitazid kuwatesa mana kumbe nyie wenyew wasaliti tu kwa ndoa za watu..kwn huyo prof hana mke!!?
  7. hijer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuliwa wadada maofisini kamwe hakutoisha

    Duuh sawa mze
  8. hijer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumpiga Mpenzi wako sio ishu...

    Zaidi ni kujishushia thamani ya mapenzi yako tu kwa huyo mpenzi wako. Tafakari baada ya kumpiga wewe ndiye mwanaume bora au ushamba. Mfanye Mpenzi wako kama mwanafunzi au mtoto kwako utaenjoy, kila wakati utaona kosa sio kosa ila ni haki wewe kumsamehe. Thats how true loves are made.
  9. hijer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuliwa wadada maofisini kamwe hakutoisha

    Mze...hii kauli ww unaichukuliaga vp...mwanamke hachungwi kuwa ana jichunga mwenyw
  10. hijer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuliwa wadada maofisini kamwe hakutoisha

    Tunapo waza kubadilika ibaki tu story..wengne ndio kwanza wanasema tulisakate et tukazane...kweli tupo tofauti..ila ifike mahali regret on what you doing...ww hujaumbwa kwa ajili hiyo..acha fanya yatakayo kupa credit kwa watu co yanayo discredit alafu ww hujijui...UNADHARAURIKA
  11. hijer

    JamiiForums Tanzania Pata dondoo za ubashiri wa mikeka ya soka bure

    Safii...hiyo app inaitwaje...mkeka tips?
  12. hijer

    JamiiForums Tanzania Manchester United kusuasua dawa hii hapa

    Kuna kuzeeka akili...kumbukeni...co kwakuwa yupo hai ndio kila jambo litawezekana
  13. hijer

    JamiiForums Tanzania Ole sio kocha , ni msimamizi wa mazoezi

    Na kweli
  14. hijer

    JamiiForums Tanzania Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

    Nlitaman nianze na mm kupata madem kama kaka alivyo kuwa
  15. hijer

    JamiiForums Tanzania Ulipokuwa mdogo ulitamani kuwa mkubwa, ni nini kilikuvutia kuwa mkubwa?

    Na mm ifike cku nioe
Back
Top Bottom