google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,872
Daaaah mchungaji hapo umemfutia ala yake tayari kujichinja mwenyeweSijaoa ila nikioa mke wangu namfungulia biashara hapo hapo nyumban ama hafany kaz kabisaaaa.[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]afadhali hao wanaoliwa maofisini wako anaweza kuliwa ndani ya nyumba yako na pengine kitanda unacholalia... Wahuni sio watu Napoleone,