Kumpiga Mpenzi wako sio ishu...

Kumpiga Mpenzi wako sio ishu...

hijer

Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
29
Reaction score
21
Zaidi ni kujishushia thamani ya mapenzi yako tu kwa huyo mpenzi wako. Tafakari baada ya kumpiga wewe ndiye mwanaume bora au ushamba.

Mfanye Mpenzi wako kama mwanafunzi au mtoto kwako utaenjoy, kila wakati utaona kosa sio kosa ila ni haki wewe kumsamehe.

Thats how true loves are made.
 
Hujakua kijana.
Ukishamfanya kuwa Mwanafunzi au mtoto ndiyo hakukosei?

Kuna watu wamedumu kwenye mapenzi kwa sababu hiyo.
Kuna wakati mambo hayaendi mpaka utumie wenzo.
 
Back
Top Bottom