Pata dondoo za ubashiri wa mikeka ya soka bure

Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,346
10,220
MKEKA TIPS
Hii ni website na Android app niliyoitengeneza kwa dhumuni la kutoa betting tips for free, ni BURE na daima itakuwa hivyo. Nilii-publish juzi rasmi na kuanza kufanya kazi huku ikiwa inajulikana na watu wachache tu kupitia matangazo niliyo-share kupitia groups mbalimbali. Najua kila mtu humu anajua kubet vizuri sana ila kupitia App hii itakupa muongozo tu wa masoko yapi mazuri kubetia kwa siku husika na mechi zake. Mpaka sasa WINNING RATE ni 100% ikiwa sijapoteza mkeka wowote ktk mikeka miwili niliyoweka. Nakukaribisha uweze kutoa support yako. Website na App hii vyote havina matangazo na hii ndio maana ya bure.

Website: bit.ly/MkekaTips

Android App: http://bit.ly/MkekaTipsApp

Toa maoni yako kwa maboresho yoyote kta website yetu pamoja na App.
20190903_054002.jpeg
20190903_053230.jpeg
 
Mi nikajua umebeti hata mikeka zaidi ya 10 mfululizo yote umekula kumbe miwili tu lakini freshi uko vizuri
Ndio mwanzo, ipo mikeka mingi niliyokuawa nabet mwenywe ila saiv ndio nimetengeneza hii ili niweze ku-share na watu wengine. Natumaini nitafika hiyo 10 bila kupoteza, asante kwa maoni yako.
 
Hiyo mikeka ungeiweka humu. Sio lazima tuje huko kwenye link yako. Isije ikawa wewe ni mtu wa usalama unawatafuta watu toka humu.
 
Leo umeingia chaka york city nyau nyau usifkili kila siku jumatatu lakini pia usikate tamaa mkuu
 
Ndio mwanzo, ipo mikeka mingi niliyokuawa nabet mwenywe ila saiv ndio nimetengeneza hii ili niweze ku-share na watu wengine. Natumaini nitafika hiyo 10 bila kupoteza, asante kwa maoni yako.
Ushauri
1) Mkeka wa Siku weka asubuhi na mapema ili watu wawahi odds zikiwa za moto.

2) Unapoweka Matokeo ya Win au Lost, weka na magoli yake kabisa.
 
Leo umeingia chaka york city nyau nyau usifkili kila siku jumatatu lakini pia usikate tamaa mkuu
😂😂😂 York City wahuni kweli, ila mapambano yanaendelea japokuwa hizi ligi za chini ngumu sana kubashiri
 
Ushauri
1) Mkeka wa Siku weka asubuhi na mapema ili watu wawahi odds zikiwa za moto.

2) Unapoweka Matokeo ya Win au Lost, weka na magoli yake kabisa.
OK! Asante kwa ushauri wako mkuu, kuhusu kuweka mechi mapema nitajitahidi matokeo ya mkeka uliopita yakitoka tu naweka mkeka wa kesho yake. Ila pia ligi ndio inachangia maana saiv hii International break inalazimu kubet ligi za chini ambazo nyingine hata kuzitazama sijawahi so kupata timu zenye asilimia angalau 80 ya kushind huwa iachukua muda. Pia ntakuwa ntaweka matokeo kwa sasa
 
Hiyo mikeka ungeiweka humu. Sio lazima tuje huko kwenye link yako. Isije ikawa wewe ni mtu wa usalama unawatafuta watu toka humu.
😂 Usiwe na hofu mkuu, mimi ni raia tu wakawaida wala sipo kwa lengo tofauti na hilo nililotaja kwenye huu uzi.
 
Back
Top Bottom