Recent content by hezekia ngela

  1. H

    Professor Muhongo aionya serikali

    .....shida ya siasa ukiwa ndani unaona inanoga sana lkn ukitolewa unaona waloko ndani wanakosea sn.Angeyasema hayo akiwa ndani sio kwa nje
  2. H

    Mwanaume kutovaa chupi

    Toka uanze chuo!!!kabla ya hapo ulikua unavaa.Tueleze ulipikua unavaa ulijisikiaje na leo hii unajisikiaje
  3. H

    Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

    Hata ukishauriwa tofauti utabadilisha maamuzi uliokwisha chukua
  4. H

    Wizara ya Nishati na Madini iboreshwe ili iweze kufanya kazi kwa ufanisi

    "Nampenda sn prof Muhongo,tena nibrafiki yangu mkubwa,lkn kwa hli naomba ajichunguze na kujitathmini na ikibidi aachie ngazi".....Dkt.Mh Magufuli
  5. H

    Kwanini uteuzi wa Profesa Muhongo kwenye Cabinet unashusha hadhi ya aliyemteua!

    Angebaki tu kufanya kazi ya profesheno yake aibu hii isingemkuta.Siasa mchezo mchafu sana
  6. H

    Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .

    Viongozi wetu wengi wanaangukia kwenye kundi la small minds people...Nimejaribu kuwaza kwa sauti tu.
  7. H

    Magazeti yapotezea Drama za Magufuli Bandarini

    Hakika bila busara,kujipanga kisiasa haiwezekani ukawa kiongozi....sana sana utakua mtawala
  8. H

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Bado mdogo sana dada (27 sio kitu)....Tulia kama mwanzo,..ukikurupuka utapata mwanaume na mtakua "bibi na bwana" na sio " mume na mke"
  9. H

    Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Sasa tunaisoma namba tena.....na tutaanza kuiandika ktk akili zetu
  10. H

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    R.I.P mzee wa standard and speed.Ktk kipindi chake bunge lilikua huru zaidi na hakukua na majibizano ya wabunge bila kuheshimu kitiq cha spoka kqma tunavyoshuhudia sasa Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  11. H

    Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Ndg ...chambua kitaalam kuonyesha athali na faida kwa pande zote 2 (Lipumba na CUF)..umeegemea upande mmoja tu wa Lipumba,kunani hapo?
  12. H

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Binadam wote ni sawa.....Hii hotuba inaonyesha jinsi gani wazungu wanavyotudharau.Pia waafrika (watu weusi)tunajidhalisha sana,mfano mtu mweusi akioa/akipata mwanamke wa kizungu anaona kama yuko daraja lingine na dada zetu pia wakipata mzungu wanapagawa kabisa.Tunatakiwa tubadilke ktk mindset...
Back
Top Bottom