Recent content by hevensitor da montez

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mzazi: Mtoto wangu alikufa kwa uzembe JKT

    Rest in peace halima!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

    Ile bendera ya taifa inarangi nne ambazo zinamaana!ukitaza kwa kina tanzania tumebaki na zile rangi tu lakin vitu vinavyowakiliashwa na zile rangi hatunufaiki navyo!con xababu ya kuheshimu vitambaa vyenye rangi ziczo na maana kwetu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Asili ya maneno 'Shikamoo' na 'Marahaba' ni utumwa, kwanini tunaendelea kuyatumia?

    Shikamoo ni xalamu ambayo haina maana ya heshima ilitumiwa wakati wa utumwa ikiwa na maana ya nko chini ya miguu yako lakin waswahili wakalichukulia kama neno linaloweka heshima kati ya mkubwa mdogo ndo maana hili neno halina tafsiri katika lugha zetu za kikabila ninavyoona hili neno lanakufa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania waandishi wa magazeti...msituharibie lugha tafadhali

    Tatizo hapa ni adhari za lugha mama yaan lugha za makabila mf wakuria hutumia xana r hivyo hata kwenye l wanaweka r!jambo la msingi hapa ni kuhakikisha kwamba zile athari za lugha mama haziharibu kiswahili na hiyo ni xifa ya wataalamu wa lugha
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nani mjanja kati ya mtalii na mbongo

    Hahahahahaha!chezea mbongo weee
  6. H

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu niliyo jibiwa baada ya kupiga 112 police

    Hahahahahahahah!
  7. H

    JamiiForums Tanzania am new here

    Hellow!am new here.....!am happy to be with u guyzz
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nenda kaka,hukunipa nafasi niliyostahili

    Delete futa kabixa!utapata wa kufanananae hata kuxumbua akili mdada
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshamtambulisha nyumbani lakini.........

    Waswahili huxema ukilikoroga lazima ulinywe!uliwahi kumtambulisha bila hata kumjua kiundani!achana nae na hilo liwe fundisho kwako,waeleze wazazi coz ww co wakwanza kuachwa baada ya utambulisho
Back
Top Bottom