je unadhan ulfanya kosa kumtambulisha? je,unadhan utafanya kosa kumtambulisha mwngne? je,unadhan ni vibaya ukiwaambia wazaz kuwa umepgwa chini? tafakar kwa kina...
sidhan km hili jambo linaweza umiza kichwa cha mtu.
ushaur mzur
huyo hakufai tafuta mwingine usilazimishe inawezekana Mungu amekuepushia jambo baya
.....
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano.
....
akadai
...
nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2
...
na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
...
...
Acha woga wa maisha ww!
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaa.....!
unacheka nn?
hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
Siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue
JAMANH NFANYAJE NA WAKAT TAYAR NIMESHAMTAMBULISHA NYUMBAN?
Hii nayo kali kabisa!hivi wewe kukutana na mtu tu stendi ndo unafanya usajili??hata kuku huoni kifaranga cha miezi mitano hakifai hata kuchinja??sasa ukija dsm hapa posta si ndo kila baada ya dk 1 unaenda kutambulisha??acha kukurupuka ndugu kwa namna yako hiyo tuaishia kuopoa milupo kila kukicha jipange!
Asikuumize kichwa huyo, alitaka apate mtu wa kumgegeda kwa muda akiwa huko, hakufai
Waswahili huxema ukilikoroga lazima ulinywe!uliwahi kumtambulisha bila hata kumjua kiundani!achana nae na hilo liwe fundisho kwako,waeleze wazazi coz ww co wakwanza kuachwa baada ya utambulisho
Angalia vizuri either una moja kati ya haya:-
1.Hauna hela
2.Hauna Future
3.Kitandani kwishne nei
4.kakuona Zombie au Wakuja aka Mshamba
====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
Namcheka ZOMBIE miye!
...
Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaa.......!!!