Recent content by Herr muller

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa adhibitiwe kabla hajaleta madhara kwa Taifa

    Msajili wa vyama ni kada wa ccm, mpaka afanye vile jiwe anataka, lakini atajua hajui
  2. H

    JamiiForums Tanzania KIGOMA: Nyumba ya tembe iliyounganishwa na umeme yazinduliwa na Waziri

    Hapa iko hatari kubwa,hii nyumba inaweza waka moto saa yoyote, na sijui wale watu au wataalamu ya hii mambo ya umeme walisomea shule gani, na nani aliwafundisha hii mambo ya umeme, hii hi kuhatarisa maisha ya wananchi wanaoishi kweye hizi nyumba, mungu saidia hao watu, tutasuhudia mengi kweye...
  3. H

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

    Kweli kabisa mkuu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Majibu yangu kwa Yericko Nyerere juu ya suala la Maalim Seif

    GOOD ANALYSIS , be blessed my brother
  5. H

    JamiiForums Tanzania Miezi 18 kabla ya uchaguzi mkuu, Magufuli kaamua kwenda Mbeya

    mkuu ulitaka ale ugali na maharagwe huku kwa wazungu
  6. H

    JamiiForums Tanzania Miezi 18 kabla ya uchaguzi mkuu, Magufuli kaamua kwenda Mbeya

    KWELI KABISA, MUNGU POYA MHE LISSU HARAKA KABBLA JIWE HAJAMARISA TAIFA na akiri DUNI
  7. H

    JamiiForums Tanzania Miezi 18 kabla ya uchaguzi mkuu, Magufuli kaamua kwenda Mbeya

    mwaka wa 2020 unangonga hodi, na lazima jiwe aaze mikakati, lakini mbeya iko na weyewe, mbeya ni upizani damu, ati naibu spika tulia anataka kupambana na mhe mbiliyi pale mbeya , je ataweza hata kaa amepewa hela ngapi na jiwe
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usizoyeane Sana na mpenzi

    ulijua aje alizaa nje ya ndoa, maana njia ya kujua pengine wewe ndie baba wa hako katoto, siulizi kwa ubaya lakini naona ajabu unajua ati mtoto sio wa mume wake mkuu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

    I FULLY DIS AGREE WITH YOU,Sikubaliani na wewe kabisa ati hakuna utajiri wa ukweli au harali,je unataka kusema kila billionaire hapa duniani ametajirika kwa njia baya au sisizo halali, LA,je usawai tembea nje ya TZ uone mabilionaire wakubwa na ujue historia zao, mfano tajiri number moja duniani...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    you mean a holder of a bachalors degree in agriculture has a take home of 1.3m, i dont need a phd holder those are teachers at uni and research institutes, i need the pay of a bachelors degree holder and a masters degree holder pls, so is this 1.3m a masters or bacherlers mkuu, nifafanulie pls...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    mkuu nimejaribu lika namna na sipati, kumbuka siko hapo tz, kwahivyo sina nafasi bora ya kuongea na watu, kama ni mataifa mengine kama kenya kila mtu kwanzia raisi mpaka mkuu wa jeshi, jaji mkuu, waziri , karani ofisi hata mtu wa kupika chai ofisini wewe enda tu kwa website utakuta kila mtu na...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Natumaini yote mko salama kabisa, sasa sababu ni vingumu sana tz kujua mishara ya watumishi wa Serikali sio kama mataifa mengine ambao unaenda tu moja kwa moja hadi website unakuta kila kitu, Niko na maswali naomba msaada wa majibu, nataka kujua misahara ya watu ambao wako na hizi aina za...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana watu kulalamika ajira na pesa hakuna wakati mtaani mahitaji ya watu ni mengi sana

    Mkuu hapa kwetu mtaa watu wahahitaji chakula bora, mavavi bora, wanahitaji matibabu ya hali ya juu, wanahitaji kuendesa PRADO, BMW na AUDI, naona hizo mahitaji zote lakini shinda ni 2 tu, hao wanaohitaji hizo vitu na pia mimi hakuna ena hela, 1 ya kumuezesa kununua hizo vitu, 2 mimi mweyewe...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH

    kwani magufuli sio mjinga, mtu anaamuru mtu apigwe risasi 37, huyu sio mjinga jamani, enda shule bwana
Back
Top Bottom