Recent content by hernest

  1. H

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa wanawake wakifika huku

    Nyie hampend lakin wapo wanaopenda na kwao nisawa tu... mbona hao hao ni wake... girlfriends.... watoto....vimada...nyumba ndogo.....wadogo.....mama......dada... wa hao hao wanaume
  2. H

    JamiiForums Tanzania Is he worth a second chance?

    Mwanaume akikucheat akakurudia hua ana pause tu..... then mkishakua stable ana rud kule kule...... but kama bado unampenda mwambie muoane tho hataacha kucht ila atleast utakua umewekwa ndani
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hivi Masanja Bado Ni Mlokole?

  4. H

    JamiiForums Tanzania Mdada kufanya tendo la ndoa siku moja kabla ya ndoa yake!

    Alielala na bibi harusi siku moja kabla harusi... Nae sio bwana harusi... Bado mnanishauri harusi!!!? Hamuez kua hamjaelewa- "bado nipo nipo" mwana fa
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

    Ndugu yangu usijejaribu kutoa hata kumi kwa ajiri ya mahari yako mwenyewe.........
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

    Eti kisa hajamchangia mahari...... inashangaza
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

    Ntafanya na kumsaidia sana tu but si wakati wa kunichumbia better hata nkaongea na wazazi wampunguzie o atoe kwa awamu ila Mie kujitolea mahari never!!
  8. H

    JamiiForums Tanzania Picha: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz

    Inahusu vipi hapo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Picha: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz

    Wee hapo umeuona ulimbuken mxiuuuu na bado mtakufa sana na hayo maji ndomo kiboko yenu
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

    Mimi pia naweza msaidia mtu katika Mambo mengine ata asiponivisha pete haina shida ilmrad tumependana...... ila kumsaidia eti kunitolea mahari uwiii siwezi ntakua najichumbia.... kijana kama Mambo hayajakaa sawa atulie kwanza atafute pesa.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

    Naona utamwambia mwanangu acha "umalaya" heheheee hatari kubwa
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

    Kwani mtu akijipodoa hata barabarani wee inakupunguzia nini...... mkataze mkeo na mwanao..... na acha kuita wanawake malaya kisa kujiremba hupendi usiwaangalie...... na mwanao ndo atakua anajiremba had huelew sijui utamwita malaya
  13. H

    JamiiForums Tanzania Picha: Muonekano mpya wa Diamond Platnumz

    Yaan mtu akifanikiwa watu wanaeka chuki za wazi ....... ye kiba si atoke tu kwani kuna haja gani ya kumtisha diamond mashabiki ndo watajua nani ni nani
  14. H

    JamiiForums Tanzania love at first site

    Nyanda za juu Kusini ili neno la linafahamika sana tu
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hii ni sahihi? Naomba ushauri tafadhali

    Kah hadi marafiki!!
Back
Top Bottom