T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,082
oophss! Umewrong vibaya sana mkuu...
Mtu anapokuangalia haimaanishi kuwa anakupenda au anakutaman.
Inaweza kuwa
. Anakushangaa jinsi ulivyo wa ajabu,
. Anakufananisha na kikaragosi kwajinsi ulivyojitia mkorogo,
. Anakudharau kwa ufinyu wa akili yako jinsi ambavyo hujiamin na uasili wako,
. Anakuangalia ili apate cha kuja kuwaonya wengne wasiwe kama aliyejipiga bandia
. Hayo na mengne mengi tu.
Kama wa kukuelewa atakuwa amekuelewa mkuu