Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,276
the same applies to men,kuna harusi moja bibi harusi kafika kanisani bwana harusi haonekani,wamemsubiri hadi mchungaji akataka kuhairisha,wenzake wakawa wanamtafuta kwenye simu kuwa haarakishe,baada ya siku kupita ndio inakuja kusikika kuwa alikuwa hotelini na mwanamke mwingine