love at first site

love at first site

Sa ilikuajeee tupe mauhondo maana u gvn us nusu nusu..... Hihihihi

Nashukuru alinipa namba zake, tukawa tunachat nakumbuka mlio wa msg ulikuwa ule wimbo wa "billionaire"
yani akintxt nikisikia tu "I wanna be a billionaire...nasisimka hadi nywele, yani nalegea najihisi makopa kopa moyoni
dah basi bana siku hiyo ijumaa jioni.....ngoja nkakojoe narudi kukumalizia
 
Hahaha haya twasubiriii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom