Recent content by HERITAGE

  1. HERITAGE

    Unamshauri kipi mtu anaetaka kusoma kati ya ACCA au Masters

    Mimi nitashauri kama ifuatavyo, hapo aangalia target yake ya kupractice ni wapi....kama ametarget soko la Tanzania its better akafanya CPA kwanza, lakini kama Target yake ni International Market anaweza fanya ACCA. Kuhusu Masters nanavyojua mimi: Karani ( Wrongly known as Accountant) mwenye...
  2. HERITAGE

    Jinsi gani ya kupunguza fuel consumption

    Mimi nafahamu technique mama ya kuzuia gari yoyote kula mafuta hata iwe na 5000 cc, Technique yenyewe ni KUPAKI GARI yaani haili hata kijiko kimoja.
  3. HERITAGE

    Hivi watu wa hali ya chini wanawezaje kuoa na hizi mali?

    Million 2 haifanani kabisa na huyo unaeenda kumuweka ndani, mkeo atakuwa hazina na kampani pekee katika maisha yako yote yaliyobaki. Kama unauwezo wa kulipa lipa kama huna bargain kwani mahari ni makubaliano na huwa haimalizwi, kutegemeana na mila na desturi husika kuna vitu wanaweza vipunguza...
  4. HERITAGE

    Kusoma CPA (T) kwa mikoa ambayo hamna review classes.

    Umefanya vizuri kuuliza, CPA sio kitu cha masihara. Njoo inbox nikupe in and out. Nitakueleza kadili ya uwezo wangu maana njia za kufanya vizuri sio constant kwa watu wote.
  5. HERITAGE

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Pole sana mkuu. Kunywa pombe kwa kiasi na kwa uhitaji ni muhimu sana, sio lazima unywe kila siku hata kama huna hamu ya kunywa. Ki ukweli kuacha pombe ni kazi sana hasa unapokuwa umefika level uliyopo wewe. Mimi naushauri yafuatayo:- 1. Kwanza kabisa, Mrudie Mungu kwa kufanya ibada na kushiriki...
  6. HERITAGE

    Kupatwa kwa yanga au castle lite?

    Hapo sawa...:):););)
  7. HERITAGE

    Kupatwa kwa yanga au castle lite?

    Wanyakyusa hawako ivo labda umewafananisha mkuu.
  8. HERITAGE

    Pale Dereva anaponusurika...

    Houni miguu iliyo mzunguka hapo.....? Hapo hakuna namna.
  9. HERITAGE

    Brain challenge

    Nimekupata mkuu Real G.
  10. HERITAGE

    Brain challenge

    Good observation. Swali langu ni kwamba umejuaje kama hizo ndizi zinafanana urefu na uzito mpaka zikagawanywa kwa tatu kupata thamani ya ndizi moja.......?
  11. HERITAGE

    Utafikiri wanaangalia kitu muhimu sana

    Teh teh teh teh teh
  12. HERITAGE

    Bwawa la Kuogelea Linalopatikana Tukuyu

    Waache kwenda kwa Mmosya, Ndulilo,Jordan au Kiwira waangaike na makaratasi hayo unaogelea ka umefugwa miguu bhana.
  13. HERITAGE

    Balance Sheet of Life

    That great Samaritan, An auditor can only form an opinion on the financial statement (Balance sheet) but God is far far far ahead of those small things. My appreciation for your answer.
  14. HERITAGE

    Wamemtembelea bibi yao

    Bibi nae atoe simu yake aendelee kuperuzi....au amcheki Babu.
  15. HERITAGE

    Tulia dogo

    Haijafungwa sasa. PASUKA.
Back
Top Bottom