Bwawa la Kuogelea Linalopatikana Tukuyu

Bwawa la Kuogelea Linalopatikana Tukuyu

Hii kitu inatumikaga kupozea uji wa komoni!!
 
attachment.php

Waache kwenda kwa Mmosya, Ndulilo,Jordan au Kiwira waangaike na makaratasi hayo unaogelea ka umefugwa miguu bhana.
 
Tukuyu kuna mabwawa kibao ya asili nisemu Rungwe kwa ujumla, kuna kisiba, Ikapu, Ikama ,kitema nk. Tembeleani tukuyu muone maajabu ya Muumba
 
Alimradi wanafurahi its doesn't make any difference na fancy swimming pool
 
Back
Top Bottom