Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Bibi kabaki anashangaa tu, wajukuu wako JF. Haikuwa na haja ya kumtembelea.bibi anatia huruma yaani..ppoz zipo busy na simu zao pambafuu
Bibi kabaki anashangaa tu, wajukuu wako JF. Haikuwa na haja ya kumtembelea.
hahahah ila mie ningekua bibi..ningewafanyia viroja najidai nimezimika hahah ili wahangaikee..niwatoe kwenye kuchat..ila ndo tunapoelekea mie naonaga hom ikifika jion kila mtu yuko busy na kasimu kakee..hadi beki tatu mpaka watoto wanasaidiwa homework kwa mbindee
bibi anatia huruma yaani..ppoz zipo busy na simu zao pambafuu