Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,945
- 67,564
Ila ajali isikie kwa mwenzako...

hahahahaha....Jamaa naona anazuga.. Inavyoonekana ni bwana misifa sana huyo kitaa.. Itakuwa alikuwa anajaribu kuinua tairi la mbele![]()
Jamaa naona anazuga.. Inavyoonekana ni bwana misifa sana huyo kitaa.. Itakuwa alikuwa anajaribu kuinua tairi la mbele![]()
Hapa atakuwa anaongea pekeyakeIla ajali isikie kwa mwenzako...
![]()
Huyu alipata ajali.....akapokea taarifa kuwa waandishi wa habari wamefika tayariIla ajali isikie kwa mwenzako...
![]()
Halafu kaanguka lakini hat liko pale palehahahahaha dereva amezuga kama sio yeye aliyeanguka...hapo ukute kaumia
hahaha mkuu machi yako ni yale yaonayo mbali kumbeme nimeona miguu meupe pale pembeni
Nadhan ni ajali yenyeweHilo ni pozi la ajali au ndo ajali yenyewe
Mbona kama marehemu mzee Ojwan'gIla ajali isikie kwa mwenzako...
![]()