Lara 1 mtizamo wako umeuangalia upande mmoja tu! Yapo matatizo mengi ambayo ukiyafahamu yanaweza kuubadirisha mtizamo wako juu ya Dar Es Salaam.
1. Dar Es Salaam tunalikubali kuwa nini Jiji maarufu sana Tanzania ila kuna mambo mengi yanayolifanya lionekane kuwa si Jiji zuri sana kuishi,moja...
Asili ya Jumuia ya Afrika Mashariki ni Nchi tatu tu, Tanzania,Kenya na Uganda huu muongezeko wa hizi Nchi mbili Rwanda na Burundi umefanyika kwa kuwa Nchi hizi tuko nazo karibu sana Kijiografia lakini siyo Kijamii. Nchi yetu Tanzania tumekuwa wahanga wa Wakimbizi kwa miongo kadhaa sasa na...
Nahakika kuwa Mkuu huyo Mwandishi haujamuelewa,karibu Watanzania wote tuna fahamhu kuwa Edward Lowassa alijiuzuru kwa kuwa kama Waziri Mkuu alishindwa kusimamia vyema sheria ya manunuzi ya Umma kwa kupindisha taratibu zilizopo ili kuipatia nafasi kampuni ya Richmond LLC kupata tenda ya kuiuzia...
Ndugu yangu nami napenda nikupe ufahamu kuhusu majeshi yetu ya ulinzi na usalama.JWTZ inajukumu la kulinda mipaka yetu yote,Jeshi la Polisi lina jukumu la kulinda watu na mali zao,Jeshi la Magereza linajukumu la kuwarekebisha tabia wale wahalifuwote wanaotumikia vifungo vyao Jela...
Wakenya,Waganda na Wanyarwanda tunawafahamu kwa roho zao mbaya na ndiyo sifa inayotutofautisha sisi Watanzania na hao wenzetu maana siku zote wao wamekuwa watu wa kujitenga tu! Tuwaache wafanye wanachotaka kukifanya maana njia ya mnafiki ni fupi.
Mkuu hali ya sehemu moja kuwa na maendeleo na sehemu nyingine kukosa huwa inachangiwa na vitu vingi sana kama kwenu Singida asilimia kubwa ya Wasichana na Wanawake zenu ni wauza Baa yaani Ma Barmaid na Madada poa hivi hii nayo inachangiwa na nini? Yaani usiangalie kwa mwenzio kabla kwako...
Mkuu huyu mtu amefungwa kwa kosa la kujifanya yeye ni Afisa wa Jeshi na kwa mujibu wa Katiba yetu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama haviruhusiwi kujiunga na chama chochote hivyo yule kijana 'mwanajeshi' amevunja katiba!
Mkuu nimependa hoja yako kwani ni uelewa duni tulionao watu wengi mpaka inafikia wakati tunashindwa kumheshimu Rais wetu.Chuo Kikuu cha Nairobi wamethamini mchango wa Dr Kikwete na ndiyo maana kapewa heshima hiyo ila angepewa Mkapa bila shaka kusingekuwa na maneno sana!
Ukisoma historia vizuri utabaini kuwa Muungano wetu haukuwepo kwa matakwa ya Tanganyika ama Zanzibar bali ni Marekani iliyoshinikiza hizi Nchi ziungane kwa hofu kubwa kwamba mwelekeo wa Viongozi wa Zanzibar kipindi hicho ulikuwa unalenga kuwa na mahusiano na kambi ya Mashariki ambayo ilikuwa...
Mkuu naimani wewe kama ni msomi mzuri unafahamu kuwa kuna Udaktari wa namana tatu na tushawahi kujadili hili suala kuwa,mtu anaweza kuitwa Daktari kama amesomea Shahada ya kwanza ya Utabibu wa magonjwa ya Binadamu ama Mifugo,aina ya pili ya Udaktari ni yule mtu aliepata kusomea fani yoyote ile...
Mkuu nashukuru hili jambo umeliona na kulisema,kama utakumbuka pia wakati wa Usajili wa line za Simu haohao TCRA walitoa muda karibu mwaka mzima kuwa watu wote tujisajili line zetu za Simu lakini cha ajabu ilipobaki siku kadhaa kufika mwisho wa huo usajili foleni zilikuwa kubwa sana kiasi...
Si kila jambo analoongea Waziri lina maslahi na Nchi hivi ni uwekezaji gani ambao unaruhusiwa kufanyika bila ya kufuata utaratibu? Mkuu nimeupenda mchango wako na Waziri Kagasheki ndiyo hana maono na anatakiwa kweli atuombe radhi Watanzani kwa uzembe huu anaoutetea hatuwezi kuwaacha...
Kuna maeneo mengi ya Kusini ya Tanzania na Nyanda za Juu Kusini waliacha nyuma kimaendeleo ni fedha hizo hizo alizotumia Sumaye kujenga uwanja wa ndege wa Arusha ili kuufanya uwe wa Kimataifa wakati kilometa chache upo uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro je huo usio wizi? Kama Mramba alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.