Njaa Mbaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 178
Mimi kaka najua zipo kero nyingi tu sijawahi kujua kama kuna faida sasa kama kitu ni kero kwa nini tuwe nacho si kuachana nacho na kufanya mambo mengine ya msingi kuliko kupoteza muda na watu miloni moja
anko nawe si ainisha hasara hapa tuzidadavue. Unazo weka jamvini