Hayajamani
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 883
- 269
Pelekeni The Hague
Ni kweli ndugu zangu wachaga wamesoma, lakini mwandika waraka amelamikia vitu vingi zaidi ya usomi. Kwa nini tumebase kujadili elimu tu na siyo hoja nyingine kam upendeleo wa vituo vya kazi. Kwanini wajazwe kwenye vituo vyenye fursa, inamana wanaokaa vituo visivo na fursa ndiyo siyo wasomi.
Kwenye point ya kwamba mtu akionekana ni kikwazo kwao ni rahisi kuondolewa katika nafasi husika hii naweza kuilinganisha na tukio lilomtokea aliyekuwa chief Acc. Mbilo aliyeanzisha mfumo wa kulipia bank ili kudhibiti uwizi wa maksanyo na ambapo alifanikiwa kuwabana wezi, hatimaye alifanyiwa mizengwe na kuhamishiwa Mbinga kuwa mhasibu wa kawaida.
Na bado, mpaka mlie.TBL,CRDB,TRA,Uhamiaji,PSPF,Police (ngazi za maamuzi, RPCs,RCOs,RTOs,DPOs,DTOs,Wakuu wa vituo)wamejaa hawa wanaojiita wajasilia mali, sijui wanajasilia nini huko!!!
Na CCM ndio iliyoupanda huo 'mfumo Kristo' na kuupalilia, sasa tuvune matunda yake.sio ukabila ni UKRISTO ndo umeshamiri
Hakuna kukimbilia popote, tumekuwa na amani na utulivu toka tunapata uhuru chini ya CCM inayohubiri na kupalilia Udini na Ukabila miaka yoyote.Hakuna pa kukimbilia Tanzania yetu hii, ukabila & udini mmhhhh utatumaliza!!
Mkuu usishangae kwani kiukweli asilimia kubwa ya wachaga ni wakristu na hao uliosema ni wawili tu siyo wachaga, hao ni wapare!
Kwani kwenye wajumbe wa mchakato wa katiba mpya walioteuliwa kutoka zenj kuna wakristu wangapi?
Hakuna aliyelalamika kwakuwa hali halisi inajulikana na tukiendelea kuangalia wateule au wafanyakazi wa idara yeyote kwa kuangalia ukabila na udini tutaishia pabaya!
Nimependa mchango wako kwa kuwa ulichokiandika ndiyo ukweli wenyewe!Hata hujui ulichokiandikia hapa, Idara ya Uhamiaji,usomi unatazamwa kwa lens la Kichagga,ukiwa umesoma hata Nje ya nchi na ukiwa kabila tofauti na mchagga bado hujasoma, wasomi wengi wanatoka makabila mengine wameshaikimbia Idara ya Uhamiaji, wengi wameenda NIDA, na maeneo mengine.
Kigezo cha kusoma kimekuwa kikitumika sana kutetea uozo wa ukabila katika nchi hii,hiki kilikuwa kigezo cha zamani sana, mpaka sasa wasomi ni wengi na kazi ni chache mtaani, logically inamaana watu wanaopata kazi sasa ni wasomi wachache kati ya wasomi wengi. Kwa kazi chache kama za Uhamiaji zikitangazwa watu wote wanaopeleka CV zao wanakuwa wasomi, no matter ni wachagga au makabila mengine kwa kuwa labour reserve ni kubwa sana, vijana wengi wanavyeti hawana kazi
Hili swala la kuamua wachagga wengi wapangiwe Makao makuu ya Uhamiaji, Namanga, Tunduma, JKNIA, KIA, Horiri na kwenye sehemu nyeti zinazohusika na kupandisha watu vyeo ni swala la ukabila tu, wala halina usomi wowote
Tatizo letu ni kuwa hatujui ukabila ni nini au udini ni nini.
baadaye sana lazima mtaunganisha na udini hapa,watanzania ni walalamishi hadi wanakera,kama ishu iko hivyo huyu mwandishi nafac kapata wapi,yani akasinzie oficn afu ategemee kupandishwa cheo....never on earth,bahati nzuri hao anaowalalamikia baadhi nawajua vizuri......ni wafanyakazi wazuri mno so waachwe wafanye kazi
Ukabila ni mbaya sana
Siku mchaga akiwa raisi wa Tanzania,mpaka Majogoo watanyang'anywa Kazi zao za kuwika Alfajiri
ole wetu tz/africa maendeleo kwetu ndoto tu-sidhanan kama jamii moja tu ndo kila kitu kama hsomeni acheni uvivu mshike nafasi izo, uhamiaji walianzaga na udini sasa naona ukabila
jaribu kufanya utafiti, nenda chuo chochote kusanya watu kumi, trust me 6 wanatoka kilimanjato, unategemea nini