Recent content by hellodollar

  1. H

    JamiiForums Tanzania Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Anza kuweka hiyo 7M utt mapema na kuendelea kuwekeza kila unapopata hela kwani hapo kwenye 7m kuna faida ya kila mwezi 70k kuliko hela ikae benki
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu Akuzamu International Church

    Akuzamu maana yake ni Amri kuu za Mungu, ni kanisa la kinabii linalotoa huduma ya kiroho kwa kufundisha Neno, maombezi na unabiii... ni sehemu salama ya kukua kiroho
  3. H

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Humu vipiiii wakuu, leteni updates
  4. H

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande kutoka Ukurugenzi TANESCO hadi Postamasta - amepanda au ameshuka?

    Ttcl na posta ni mashirika ya uma yanayojitegemea, na postamastaa mkuu ni cheo kikubwa sana kwa seniority ya mashirika ya uma
  5. H

    JamiiForums Tanzania NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

    Aisee huu mradi ulijengwa kisasa sana ni zege tupu na hamna nyufa hata moja, yaani ukipita hapo kama ww n mzalendo unajiuliza hizi hela mbona wamezitupa hapa
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mwenye damu ya upambanaji na uchu wa mafanikio kwa ajili ya uangalizi wa shamba

    Kazi nzuri sana kwa kijana mpambanaji
  7. H

    JamiiForums Tanzania Gold Mafia: Huduma ya utakatishaji fedha – Uchunguzi Uliofanywa na Al Jazeera

    Ana mkutano viwanja vya leaders weekend hii jioni
  8. H

    JamiiForums Tanzania Gold Mafia: Huduma ya utakatishaji fedha – Uchunguzi Uliofanywa na Al Jazeera

    Uanze kwenda kwenye makongamano yake
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wokovu kwa mara ya kwanza ulitoka kwa Wayahudi, safari hii ni kwa Wakorea Kusini

    Kenya kuna Yesu wao wa togorani, Tanzania tuna nabii zumaridi, Nabii Yaspi nabii Bendera wote wanajitambulisha kama wao ndo yule Yesu ajaye...je hawa jamaa ndo makristo wengi waliotabiriwa na biblia au ndo halisi
  10. H

    JamiiForums Tanzania Huyo Mungu anayewatokea nyie wenzetu na kuongea naye ni yupi?

    Kuongea na Mungu ni mpaka yeye mwenyewe aamue kujidhihirisha kwako, maana sisi sote tunamkosea na kupungukiwa na utukufu wa Mungu...njia moja wapo ya kufanya upate kibali mbele za Mungu ni kufunga na kuomba mda mrefu unaweza ukaomba masaa sita nakuendelea kwa siku unaenda na hiyo bidii kwa wiki...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Hii ni taasisi ya Serikali hawana mbambaaa
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Mwenzako hataki kufanya biashara anategemea aweke hela baadae atumie kwa matumizi mengine
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Nenda utt weka kwenye mfuko wa liquidy fund unaweza pata kuanzia 70000 mpaka laki na usheee kwa mwezi na hela unaweza kutoa wakati wowote unaotaka ndani ya siku tatu hela inakuwa kwenye akaunti yako, achana na fixed deposity za benk mkuu
Back
Top Bottom