Recent content by hekimanyingi

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    Mambo yenu ya Utumishi wa umma hukuhuko maofisini kwenu, nyie si ndo wale mnaotumikaga kwenye kusimamia uchaguzi, mmeshasahau mara hii? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania RC Makonda atimiza ahadi ya matibabu ya Pascal Cassian

    Ujinga mtupu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Bro fisi akitaka kula baadhi ya watoto wake kwanza anaanza kuwashutumu kuwa wananukia kama mbuzi ili ahalalishe ulaji wake. Hii ya Makonda kuzuia ni starter kuna kitu wanatafuta. Bahati mbaya wanaopaswa kusema ukweli wanaimba nyimbo za sifa na utukufu sababu wamekula na kushiba. Sent using...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Na akae akielewa, kuwa Mheshimiwa rais yeye anankinga ya kutoshtakiwa. Ila rais huyu akiondoka madarakani Makonda atatumia muda mwingi wa maisha yake mahakamani kama siyo jela sababu ametengeneza mwenyewe maadui wengi nje na ndani ya nchi na wanachofanya ninkumkusanyia ushahidi tu. Yaani huyu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Fanya kazi wewe tafuta hela acha ujinga. Unayemtetea yeye pamoja na familia, ndugu zake na marafiki wanakula kiyoyozi maisha matamu na walinzi kila kona. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuwa mapenzi hujengwa na ngono pekee?

    Mwanaume anaweza akakukubalia hivyo unavyotaka mpaka kipindi flani lakini akawa anawagonga wengine nje au hata kinunua makahana au hata kumtafuna rafiki yako. Tatizo una nia njema ila unaonekana umevurugwa sana kwenye relation ndo maana kila anayekuja unaona ninkama yule aliyepita. Utajikuta...
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada Fungukeni: Ni mwanaume gani lofa zaidi ushawahi kutana naye hadi leo ukikumbuka unaishia kusema hiiiii

    Hii mjini tunaita kuuza mechi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, haina haja ya kuongeza mshahara kwa watumishi wa Umma

    Kwa kuwa na watu wenye fikra kama wewe nchi hii itaendelea mwaka 15000. Yaani kikosa kwako ajora no sababu ya kuona wengina hawastahili malipo mazuri? Kwahiyo hata waalimu waliokufundisha na utukitu wako bado unaona wasilipwe vizuri kisa wewe huna ajira? Kwa fikra kama hizo lazima utakuwa na...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

    Kama kuna watumishi wa umma mil 2. Maana yake.kila.mtu kuna watu kumi nyuma yake ambao ni dependants directly or indorectly. Maana yake kuna watu 20Mil wanaoathirika na agenda hiyo. Utumishi wa umma kwa ujumla upo frustrated. Naona vyombo ya ulinzi na usalama.na wanasiasa ndo wananeemeka na nchi...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

    Baba unaweza kubadili battery ila ngoma ikabaki mulemule. Inawezekana alternator hai charge battery vizuri. Kwa ufupi unachopaswa kufanya ni kucheki mfumo mzima wa umeme kwenye gari yako.
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapotoka kusaliti (kuchepuka), unapokutana na mwenza wako hivi unajisikiaje?

    Ukiona hivyo inawezekana na yeye ana jamaa yake(Sipo serious lakini)
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini bongo Fenicha za ndani zinauzwa bei kubwa namna hii kuliko mataifa mengine? Tuna matatizo gani?

    Siku mkiacha k7chagua sisiem ndo mambo yatarudi sawa. Matatizo ya watanzania chanzo chake ni sisiemu.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tanzania tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu

    Hivi wewe ni.mwandishi wa habari kweli au kuna kitu unakitafuta?
  14. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu wana MMU juu ya huyu binti

    Ingekuwa tunaongelewa wanyama hiyo dada ni mbwa ila yeye ni aina ile wanapata chanjo, analala pazuri na anaingia nyumba ya ibada. Mwanaume mwenye akili haupotezi muda hapo maana wapo mabinti wengi makanisa ila ni mawakala wa kuzimu. Umeshazini, hapo shetani keshajitwalia wake. Walokole mna mambo...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tutaje maeneo Tanzania ambayo maisha ni nafuu

    Huko ma8sha ni tait balaa yaani maduka ni mengi kuliko watu wenyewe. Labda kijijni huko kibosho, sanya juu, machame, uru, old.moshi ,kahe, marangu, uchira, Kv(K vant wanapaita), mwika, na rombo
Back
Top Bottom